Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

Kwa Arusha Jiji mafuriko ni kitu kirahisi sana kutokea sababu ipo bondeni. Mvua ikunyesha vizuri Meru na Monduli lazima uyaone.

Pale ofisi ya Mkuu wa mkoa tu mvua ikinyesha vizuri mlimani kipande chote cha sanawari hadi pale ofisi za Mkuu wa mkoa hapapitiki.

Magari kubebwa na maji ni rahisi sana sababu ya upepo kwenye tairi. Hapo kama mtu alishindwa kusogeza gari basi alitakiwa kutoa upepo kwenye tairi.

Tutafute maeneo salama ya kuegesha magari hasa unapoegesha kwa muda mrefu mf. Usiku kucha au mchana kutwa.

Hizi mvua ni kuwa makini tu, hakuna hisani.
 
Mbona mambo ya kawaida mvua zikiwa kubwa matokeo ni haya, maana hata nchi matajiri duniani USA, Saudi Arabia na Australia hizi nchi kubwa na miuondombinu bora lakini juzi tu mafuriko makubwa ni hali halisi ya mazingira. Kujipanda tu watu wawe salama mengine yatapita tu.
Sio kuwa kuna bwawa lililojengwa na Magufuli limefunguliwa maana halikufanyiwa EIA?
 
Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu, kwamba Jiji la Arusha limekumbwa na mafuriko makubwa sana, huko Kisongo hali ni mbaya zaidi, unaambiwa magari na nguzo za umeme zinasombwa kirahisi tu.

Sasa sijui tuendelee kuiombea Nchi hii au tumwachie tu Mungu?

Mafuriko Arusha hadi maji yanakatiza mjini na kusomba magari! Hii kwangu ni mpya kidogo.

Kiukweli namuomba Mungu aamue mwenyewe atavyo, na kama hili linatokana na mkono wa Mungu basi atukuzwe lakini kama ni Mkono wa mtu basi alaaniwe.

======
Mvua kubwa inanyesha Arusha usiku huu wa Alhamisi Aprili 11, 2024 mpaka muda huu wa saa nane bado mvua ni kubwa. Magari, pikipiki pamoja na mifugo vinasombwa na maji hasa eneo la Kisongo.

Poleni watalii!
 
Kwenye hili mkuu nakuunga mkono 100%

Arusha ina watu wa hovyo sana, watukanaji ni wao, siasa za visasi ni wao, gongo ni wao, madawa ya kulevya ni wao, matambiko ni wao, ushoga umeshamiri kule, na mpaka sasa bado hata hawaamini kwamba mwenye kufanya hivyo ni Mungu ili pengine atoe funzo

Wao wamekazania kumsimanga Makonda utadhani hata wakati wa Hanang alikuweko huko, Rufiji nako sijui alienda lini huko

Hovyo sana hao wachaga
Fanya utafiti kabla hujakurupusha hilo liubongo lako lililojaa ma**
Arusha ni wachaga tu wapo umo?
 
Kwenye hili mkuu nakuunga mkono 100%

Arusha ina watu wa hovyo sana, watukanaji ni wao, siasa za visasi ni wao, gongo ni wao, madawa ya kulevya ni wao, matambiko ni wao, ushoga umeshamiri kule, na mpaka sasa bado hata hawaamini kwamba mwenye kufanya hivyo ni Mungu ili pengine atoe funzo

Wao wamekazania kumsimanga Makonda utadhani hata wakati wa Hanang alikuweko huko, Rufiji nako sijui alienda lini huko

Hovyo sana hao wachaga
Kwamba Arusha nzima imepata mafuriko mpk ujudge hivyo?
 
Karne ya 21, kuna watu bado wanahusisha majanga ya asili na Imani....eti laana🤔🤔🚮
 
Wakuu, nipo na data nzuri kutoka kwenye kampuni inayojielewa. Tuji embrace kwa mvua kubwa sana (el nino the kid) mwezi huu hasi siku hizi hapa za karibuni.

Msije kusema hamkuambiwa. Huku sisi tushaanda rescue plans na mambo mengine. Ni hatari. Mvua zitanyesha za kutisha ambazo vizazi vya dijitali havijawahi kuona.
 
Back
Top Bottom