Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

Mimi nakwambia ukweli, mama mtu mzima unataka kujifanya Binti wa miaka ishirini. Punguza pumba.
Huyo asikupotezee muda,weka kwenye ignore list,ana wehu fulani utadhani mbwa jike liko kwa heat periods ,hawezi kutazama mambo kwa angle pana zaidi,yeye ni ushabiki wa kijinga tu.
 
Daraja la Ngaramtoni ya chini limefurika maji. Nyumba zilizoko pale ipo siku watajuta
 
Duu Arusha yetu nayo? Mbona kaja na mibalaa yake huyu.
Hanang nayo je alikuweko huyo

Je Rufiji nako, acha ukuda

Siyo kwamba nyinyi ndio mmeendekeza sana kumsema kwa mabaya huyo kijana hata ambayo si ya kweli na ndiyo maana mnaadhibiwa?

Maana kwa mnaoongoza kumsema huyo jamaa ni kanda hiyo hiyo
 
Uchawa unaweza kuwa ni matatizo ya akili
Nikupe tu taarifa mleta uzi kisongo ni nje ya mji na mafuriko kisongo ni kawaida uliza wenyeji wa Arusha we chawa wa ufipa.
 
Arusha Mafuriko huwa ni mara nyingi sana sema labada coverage na fatalities huwa sio kubwa.Huko Kisongo ni maeneo ya Low land na inaoneka maji na mvua ni nyingi huko milimani so Mafuriko hayakwepeki.Ukizingatia pia katika Ujenzi wetu wa Kitanzania huwa hatuzingatia miuondo mbinu ya maji hata kama eneo ni Korongo kabisa la Maji bado watu watfunga njia na kusahau kuwa maji lazima yatakuja.

Cha muhimu kwa sasa ni kutafuta suluhu ya kudumu ya miundo mbinu ya Maji Mapema kabla Mji hauja jaa vizuri
 
Bongo mvua ikinyesha kwa wingi, lazima hali ya mafuriko itatokea kwa mji wowote ule...

Miji imejengwa kiholela, watu wamejenga juu ya njia za asili za maji...
 
Back
Top Bottom