Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu, kwamba Jiji la Arusha limekumbwa na mafuriko makubwa sana, huko Kisongo hali ni mbaya zaidi, unaambiwa magari na nguzo za umeme zinasombwa kirahisi tu.

Sasa sijui tuendelee kuiombea Nchi hii au tumwachie tu Mungu?

Mafuriko Arusha hadi maji yanakatiza mjini na kusomba magari! Hii kwangu ni mpya kidogo.

Kiukweli namuomba Mungu aamue mwenyewe atavyo, na kama hili linatokana na mkono wa Mungu basi atukuzwe lakini kama ni Mkono wa mtu basi alaaniwe.

======
Mvua kubwa inanyesha Arusha usiku huu wa Alhamisi Aprili 11, 2024 mpaka muda huu wa saa nane bado mvua ni kubwa. Magari, pikipiki pamoja na mifugo vinasombwa na maji hasa eneo la Kisongo.

Ni makaribisho😜
 
Ni mvua kubwa iliyonyesha upande wa Kaskazini mwa kisongo Elkiushini/ Likamba Magharibi mwa TPRI

Maji yamefuata mto mdogo na palio la njia na kukutana na tuta la bara bara ..na kuvuka upande wa pili noma mbaya sana piga mpaka sambaratisha
Hayo magari huenda mkayakuta Ziwa Manyara au kule jeshini

Tukae kimachale chale Usiku..haswa pale Mto wa Mbu mzigo ukijibu Karatu hapo bondeni tutafafuta

Poleni sana majirani zetu wa Kisongo
Wajeda Mbarikiwe kwa resķyuu
 
Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu, kwamba Jiji la Arusha limekumbwa na mafuriko makubwa sana, huko Kisongo hali ni mbaya zaidi, unaambiwa magari na nguzo za umeme zinasombwa kirahisi tu.

Sasa sijui tuendelee kuiombea Nchi hii au tumwachie tu Mungu?

Mafuriko Arusha hadi maji yanakatiza mjini na kusomba magari! Hii kwangu ni mpya kidogo.

Kiukweli namuomba Mungu aamue mwenyewe atavyo, na kama hili linatokana na mkono wa Mungu basi atukuzwe lakini kama ni Mkono wa mtu basi alaaniwe.

======
Mvua kubwa inanyesha Arusha usiku huu wa Alhamisi Aprili 11, 2024 mpaka muda huu wa saa nane bado mvua ni kubwa. Magari, pikipiki pamoja na mifugo vinasombwa na maji hasa eneo la Kisongo.

It is a sign that we have to change...kuna mahala mambo hayako sawa
 
Tunamshukuru sana Mama Dr. Samia Suluhu Hassan kwa kutukumbuka Wana Arusha kwa kutuletea mafuriko kwa kweli.
 
Yan chadema ikiongozwa na wewe huumu naonaga kama mnapendaga sana watanzania wakipatwa na matatizo na majanga ili muinafikie ccm na muinafikie serikali, nyinyi ni wapumbavu kati ya wapumbavu kuwahi kutokea tangu dunia kuumbwa, kwamba nyinyi ndio mna haki ya kuwepo madarakani ili mtatue matatizo ya watannzania?

Linapokujaga swala la majanga na matatizo yanayotokea nchini hua mnapenda sana akili matope kabisa, hata kama ccm ina mapungufu mengi ambayo.hua mnayafurahia, nyinyi hamtoweza kupewa nchi hii muongoze maisha, mtaishia nafas za bungeni tu kwa akilli hizi.
 
Yan chadema ikiongozwa na wewe huumu naonaga kama mnapendaga sana watanzania wakipatwa na matatizo na majanga ili muinafikie ccm na muinafikie serikali, nyinyi ni wapumbavu kati ya wapumbavu kuwahi kutokea tangu dunia kuumbwa, kwamba nyinyi ndio mna haki ya kuwepo madarakani ili mtatue matatizo ya watannzania, ? Linapokujaga swala la majanga na matatizo yanayotokea nchini hua mnapenda sana akili matope kabisa, hata kama ccm ina mapungufu mengi ambayo.hua mnayafurahia, nyinyi hamtoweza kupewa nchi hii muongoze maisha, mtaishia nafas za bungeni tu kwa akilli hizi.
Alikuonesha kadi yake ya CHADEMA?Ni member namba ngapi?Unaongozwa na emotions za kipumbavu.Kua.
 
Back
Top Bottom