Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

Mvua kubwa inanyesha Arusha usiku huu wa Alhamisi Aprili 11, 2024 mpaka muda huu wa saa nane bado mvua ni kubwa. Magari, pikipiki pamoja na mifugo vinasombwa na maji hasa eneo la Kisongo.
Poleni sana ndugu zetu mnaokumbwa na maafa, ila huenda ndiyo yale maneno ya kejeli ya kuwa Mungu amemleta RC, Mungu hadhihakiwi, kumbukeni kuweka akiba za maneno
 
Walevi wa huko Kaskazini si ndiyo wenye kupayuka sana kuhusu mafuriko ya Rufiji?

Wayazuwie sasa kwa kuongea pombe.
1712802377720.png
 
Yan chadema ikiongozwa na wewe huumu naonaga kama mnapendaga sana watanzania wakipatwa na matatizo na majanga ili muinafikie ccm na muinafikie serikali, nyinyi ni wapumbavu kati ya wapumbavu kuwahi kutokea tangu dunia kuumbwa, kwamba nyinyi ndio mna haki ya kuwepo madarakani ili mtatue matatizo ya watannzania?

Linapokujaga swala la majanga na matatizo yanayotokea nchini hua mnapenda sana akili matope kabisa, hata kama ccm ina mapungufu mengi ambayo.hua mnayafurahia, nyinyi hamtoweza kupewa nchi hii muongoze maisha, mtaishia nafas za bungeni tu kwa akilli hizi.
Stupid, CHADEMA imeingiaje hapa. Wewe kila wakati unawaza siasa. Watu wameleta habari ya majanga wewe unaishambulia CHADEMA. Kweli vichaa ni wengi.
 
Back
Top Bottom