Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

Huyo asikupotezee muda,weka kwenye ignore list,ana wehu fulani utadhani mbwa jike liko kwa heat periods ,hawezi kutazama mambo kwa angle pana zaidi,yeye ni ushabiki wa kijinga tu.
Nyie ndio mnaletaga ushabiki hapa mnakumbushwa sasa ni bwawa la mbege lilijengwa uko halikufanyiwa EIA?
 
Walevi wa huko Kaskazini si ndiyo wenye kupayuka sana kuhusu mafuriko ya Rufiji?

Wayazuwie sasa kwa kuongea pombe.
Kwenye hili mkuu nakuunga mkono 100%

Arusha ina watu wa hovyo sana, watukanaji ni wao, siasa za visasi ni wao, gongo ni wao, madawa ya kulevya ni wao, matambiko ni wao, ushoga umeshamiri kule, na mpaka sasa bado hata hawaamini kwamba mwenye kufanya hivyo ni Mungu ili pengine atoe funzo

Wao wamekazania kumsimanga Makonda utadhani hata wakati wa Hanang alikuweko huko, Rufiji nako sijui alienda lini huko

Hovyo sana hao wachaga
 
Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu, kwamba Jiji la Arusha limekumbwa na mafuriko makubwa sana, huko Kisongo hali ni mbaya zaidi, unaambiwa magari na nguzo za umeme zinasombwa kirahisi tu.

Sasa sijui tuendelee kuiombea Nchi hii au tumwachie tu Mungu?

Mafuriko Arusha hadi maji yanakatiza mjini na kusomba magari! Hii kwangu ni mpya kidogo.

Kiukweli namuomba Mungu aamue mwenyewe atavyo, na kama hili linatokana na mkono wa Mungu basi atukuzwe lakini kama ni Mkono wa mtu basi alaaniwe.

======
Mvua kubwa inanyesha Arusha usiku huu wa Alhamisi Aprili 11, 2024 mpaka muda huu wa saa nane bado mvua ni kubwa. Magari, pikipiki pamoja na mifugo vinasombwa na maji hasa eneo la Kisongo.

Poleni sana wanachuga aka wadudu Mungu atawasimamia
 
Mungu ana waaibisha waliomlaumu Magufuli mafuriko ya Rufiji.
Sasa watueleze hayo ya Hanang, Arusha, Morogoro na Mbeya alaumiwe Magufuli?
Wanajua marehemu hawezi kujibu. Mungu amemjibia.
 
Nilitaka kuuliza kama kuna bwana kubwa la kufua umeme limejengwa
Lipo bwawa la kufua mbege na bangi kule meru limefunguliwa lisije likavunjs kingo zake hivyo ndio limesababishq mafuriko😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kwenye hili mkuu nakuunga mkono 100%

Arusha ina watu wa hovyo sana, watukanaji ni wao, siasa za visasi ni wao, gongo ni wao, madawa ya kulevya ni wao, matambiko ni wao, ushoga umeshamiri kule, na mpaka sasa bado hata hawaamini kwamba mwenye kufanya hivyo ni Mungu ili pengine atoe funzo

Wao wamekazania kumsimanga Makonda utadhani hata wakati wa Hanang alikuweko huko, Rufiji nako sijui alienda lini huko

Hovyo sana hao wachaga
Arusha hakuna wachaga tu. Kuna wamasai, wameru, wairaq ni wengi pia. Nimekaa sana Arusha hakupo kama unavyosema.
 
Back
Top Bottom