Kwani Makonda ni rain God. Arusha mvua kubwa hunyesha mlimani hususani mlima Meru na maji mengi husomba miti na mifugo, hata matrekta n.k huleta mjini. Acheni chuki zenu binafsi kwa Makonda yeye ni binadamu kama wewe.
HAPANA
Maji yanayotoka kuanzia mito na mifereji mikubwa kuanzia Namanga, Longido, Ngaramtoni, Mianzini, Themi, nenda mpaka mto Weruweru, njia panda kule mpaka Marangu na Rombo maji yote hayo yanaenda Bwawa la Nyumba ya Mungu kisha yanapita Mto Ruvu then Pangani na mwishoe Bahari ya Hindi