KUNA WATU WATABISHANyumba hizo ni hatari sn. Sitarudia tena. Zimenipa HASARA KUBWA SANA. Nimeamua kuezeka kawaidi. Sasa nafurahia kuwa nyumbani kwangu kwa raha hata kama mvua inanyesha. Zamani inapokuja mvua ROHO JUU! Maana imewahishusha Gypsam board yote chini. Ikavunja vitu vingi ndani pale. Aise sitakaa nisahau.
Hatari sanaNyumba hizo ni hatari sn. Sitarudia tena. Zimenipa HASARA KUBWA SANA. Nimeamua kuezeka kawaidi. Sasa nafurahia kuwa nyumbani kwangu kwa raha hata kama mvua inanyesha. Zamani inapokuja mvua ROHO JUU! Maana imewahishusha Gypsam board yote chini. Ikavunja vitu vingi ndani pale. Aise sitakaa nisahau.
Yaani hujui tu ubabaishaji wa Tanzania? Mafundi wenye sifa ya ufundi ni wachache sana. Wengi vishoka. Nchi nzima.View attachment 2924216
Kumekuwa na malalamiko mengi kuwa nyumba za kuficha Bati maarufu kama Contemporary au Hidden Roof zina shida ya kuvuja sana, sasa wataalamu au mliofanikiwa kujenga hizo nyumba hebu tushauriane hapa mafundi maiko wetu hawa wanakosea wapi?
Maana nataka kubadili paa langu liwe Hidden ila kila nikiona malalamiko ya wadau na picha za baadhi ya nyumba zinavyotia balaa nakosa ujasiri wa kufanya hizo changes.
Bongo kila fundi mtaalam wa kazi utakayoulizia. Ukiuliza lazima atakuambia yeye ndiye mtaalam. Subiri afanye kazi sasa.Halaf Cha ajabu fundi anayejinasibu ni Mtaalamu wa nyumba hizi , ukimpa kazi , baadae pia nyumba inavuja. Hizi nyumba Tanzania hatuziwezi
Wanapatikana wap hao mafundiwalio wengi wanaojiita mafundi wa mapaa si mafundi wa kweli. Tafuta fundi mzuri na utaachana na story za vijiweni!
juu ni zege nafikiriMbna ikulu haivuji
na ktk suala la ufundi ni ubabaishaji ktk kila kituYaani hujui tu ubabaishaji wa Tanzania? Mafundi wenye sifa ya ufundi ni wachache sana. Wengi vishoka. Nchi nzima.
Ebu kwanza niwashe live google map nizoom km kwelijuu ni zege nafikiri