Japo VETA wana kozi za Ufundi ujenzi, Vijana awataki kusoma.... ata kwenye Fenicha pia ni majanga. Wachina wana vyuo wanasomea ndo maana ata Gereji zao za magari hapa nchini wapo makini sana na uhaminifu juu. Ukienda Gereji za Kina fundi Iddi Itabidi na wewe uwe saidia fundi😁😁Ukiwaachia gari Lisaa tu, Wamechakubadilishia Betri mala wametoa Masega etc, na pengine Gari isipone na wakaiongezea tatizo.... ipo haja ya Serikali kuenforce hili iwe kuwa kama ujasomea kazi ya aina fulani basi usiifanye na iwapo ukaifanya kwa kutaka wewe, ukisababosha hasara Jera. Mamia ya Watanzania kila siku vifaa vyao vya Umeme na Electronics vina haribiwa badala ya kutengenezwa na mafundi Magumashi .... angalia ule Utitiri wa mafundi Simu pale Kariakoo ..... 99% ni waganga njaa tu.... Wamemaliza darasa la Saba na awajapitia Chuo chochote kile na ata pale TCRA ilipo amua kuwafundisha for free awataki .... mtu kaishia darasa la Saba ajui ata waya wa Neutral wa Umeme unakaa upande gani kwenye wall socket ana force kurepear Iphone ya 2.5M ambayo walioiunda wengine wana PHD za Electronics. Serikali inatakiwa kuja na regulation ya mafundi Mchundo kama vile inavyofanya kwa Engineers na Technicians wengine kuwa chini ya Regulators kama vile Engineers Regulatory Board, Bodi ya Wahasibu,Bodi ya Wataalam wa Mahabara etc.