True ..mtu umeongea kwwli kabisa .mimi nimejenga hizo nyumba mbili hazijawahi kuvuja hata tonewalio wengi wanaojiita mafundi wa mapaa si mafundi wa kweli. Tafuta fundi mzuri na utaachana na story za vijiweni!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True ..mtu umeongea kwwli kabisa .mimi nimejenga hizo nyumba mbili hazijawahi kuvuja hata tonewalio wengi wanaojiita mafundi wa mapaa si mafundi wa kweli. Tafuta fundi mzuri na utaachana na story za vijiweni!
Hapo ndo watu hukosea mfano ramani unatakiwa hata gata ujue ina kama wapi gata za pembeni mwa ukuta ni hatari sana maana watu hutumia ukuta na matifali kama sehemu ya gata kwa maana hiyo lazima tu tofali litavyonza maji na kuvuja .gata inabidi usukwe na nondo na zege la kokotote na isiwe ni sehem ya ukutwa yaan iwe kama linta na ukimwambia mtu gharama za hapo anakuwa mkali sana. Matokeo yake wanasakafia ukuta sdijui na kuwwka tailsUongo acha kuwatetea kiujumla mafundi wa huo mfumo ni wachache wengi wao wanachungulia kwa majirani na kujazana ujinga huko mtaani yaan hawataki kula shule ....ufundi ni neno pana sio kwamba mtu akiwa tu fundi kujenga ukuta anajua kila kitu No tuna mengi ya kujifunza kabla ya kufanya maamuzi mkuu
Ukishaakosea gati ni shughulia mtu ameunganisha gati na ukuta sehemu ya ukuta haiwezi kuwa kutengeneza water proof ya maana maana ni lazima,zitavyonza maji tu .gati lazima uisuke na nondo na zenge la maanaMimi mwenyewe hapa nina msala wa kubadili paa la nyumba. Mafundi wengi hawawezi upauaji huu. Fundi wangu kanitia hasara sana
Kuwekeza kawauda ni nzuri kuliko hidden roof, kwanza shep zake ni mbayaNyumba hizo ni hatari sn. Sitarudia tena. Zimenipa HASARA KUBWA SANA. Nimeamua kuezeka kawaidi. Sasa nafurahia kuwa nyumbani kwangu kwa raha hata kama mvua inanyesha. Zamani inapokuja mvua ROHO JUU! Maana imewahishusha Gypsam board yote chini. Ikavunja vitu vingi ndani pale. Aise sitakaa nisahau.
Tatizo siyo mafundi ila ni sisi ambao tunakurupukia vitu bila kuangalia mazingira. Hizo nyumba za aina hiyo hazifahi kwenye maeneo yenye mvua nyingi kama mikoa ya Dar, na mingine ambayo inapata mvua kubwa kwa mwaka.View attachment 2924216
Kumekuwa na malalamiko mengi kuwa nyumba za kuficha Bati maarufu kama Contemporary au Hidden Roof zina shida ya kuvuja sana, sasa wataalamu au mliofanikiwa kujenga hizo nyumba hebu tushauriane hapa mafundi maiko wetu hawa wanakosea wapi?
Maana nataka kubadili paa langu liwe Hidden ila kila nikiona malalamiko ya wadau na picha za baadhi ya nyumba zinavyotia balaa nakosa ujasiri wa kufanya hizo changes.
Tatizo siyo mafundi ila ni sisi ambao tunakurupukia vitu bila kuangalia mazingira. Hizo nyumba za aina hiyo hazifahi kwenye maeneo yenye mvua nyingi kama mikoa ya Dar, na mingine ambayo inapata mvua kubwa kwa mwaka.
Hizo nyumba zinapaswa kujengwa kwenye mikoa yenye mvua kidogo kama baadhi ya maeneo ya Singida, Dodoma ambako wananchi wake wamejenga nyumba za tembe.
Ukiona mtu anaishi Mwanza, Kagera, Dar, na baadhi ya maeneo ya Morogoro anajenga nyumba ya aina hiyo huyo ni wa kumuonea huruma. Mtawalaumu mafundi vishoka bure kwa sababu na wao hawajui misingi ya ufundi.
Mkuu usije kujaribu kujenga hizi nyumba otherwise muandikishane kwenye vyombo vya sheria.Tatizo mafundi wengi wanafosi kuzijenga ila uwezo wao mdogoView attachment 2924216
Kumekuwa na malalamiko mengi kuwa nyumba za kuficha Bati maarufu kama Contemporary au Hidden Roof zina shida ya kuvuja sana, sasa wataalamu au mliofanikiwa kujenga hizo nyumba hebu tushauriane hapa mafundi maiko wetu hawa wanakosea wapi?
Maana nataka kubadili paa langu liwe Hidden ila kila nikiona malalamiko ya wadau na picha za baadhi ya nyumba zinavyotia balaa nakosa ujasiri wa kufanya hizo changes.
Kuvuja ni tabia ya mafundi Wetu kukosa umakini, uelewa, exposure, precission,View attachment 2924216