Mpaka Sasa Watakuja Wakina Tomaso Ama Tuseme "Kusikia Kwa Kenge Mpaka Atoke Damu Puani Na Masikioni "Nyumba hizo ni hatari sn. Sitarudia tena. Zimenipa HASARA KUBWA SANA. Nimeamua kuezeka kawaidi. Sasa nafurahia kuwa nyumbani kwangu kwa raha hata kama mvua inanyesha. Zamani inapokuja mvua ROHO JUU! Maana imewahishusha Gypsam board yote chini. Ikavunja vitu vingi ndani pale. Aise sitakaa nisahau.
Uko sahihi sana mkuu. Fundi aliyenichinjia baharini aliniambia ni fundi maarufu toka DAR. Na amejenga nyumba za namna hiyo nyingi sana, kwamba amejenga mpaka Zanzibar. Akanionyesha na picha.Yaani hujui tu ubabaishaji wa Tanzania? Mafundi wenye sifa ya ufundi ni wachache sana. Wengi vishoka. Nchi nzima.
Ukweli ni kuwa Mafundi wengi awajui jinsi ya kuezeka hizi aina ya paa! Tanzania ya sasa Vijana awataki somea fani yeyote..... wanapenda Short cut. Kuanzia kwenye ufundi magari,simu,Nyumba ndo kabisa unakuta fundi anaweka tiles Chooni maji ayaendi😭. Jirani yangu baada ya kubadilisha mafundi zaidi ya 2 na hasara juu.... nikamwambia juu ya fundi mbobezi wa kuezeka hizi paa(ni graduate wa Civil Eng) Nikampa no yake akamwita...alipopewa Bei akakataa akaendelea tafuta Mafundi Magumashi wa bei rahisi. Mpaka muda huu nnapoandika hapa Nyumba ipo aijapata fundi mzuri na wa bei chee.Waenga walisema BURE AGHALI. Mafundi wabobezi wapo tatizo wengi wetu tunapenda KitongaView attachment 2924216
Kumekuwa na malalamiko mengi kuwa nyumba za kuficha Bati maarufu kama Contemporary au Hidden Roof zina shida ya kuvuja sana, sasa wataalamu au mliofanikiwa kujenga hizo nyumba hebu tushauriane hapa mafundi maiko wetu hawa wanakosea wapi?
Maana nataka kubadili paa langu liwe Hidden ila kila nikiona malalamiko ya wadau na picha za baadhi ya nyumba zinavyotia balaa nakosa ujasiri wa kufanya hizo changes.
tumia bati bora na imara zingatia ratio ya cement huko juu 🐒View attachment 2924216
Kumekuwa na malalamiko mengi kuwa nyumba za kuficha Bati maarufu kama Contemporary au Hidden Roof zina shida ya kuvuja sana, sasa wataalamu au mliofanikiwa kujenga hizo nyumba hebu tushauriane hapa mafundi maiko wetu hawa wanakosea wapi?
Maana nataka kubadili paa langu liwe Hidden ila kila nikiona malalamiko ya wadau na picha za baadhi ya nyumba zinavyotia balaa nakosa ujasiri wa kufanya hizo changes.
Kama wachina wakijitosa kwenye ufundi ujenzi wa mtaani watapata masoko sana. Wanajua kunyoosha nyumba na kila detail inakuwa imepatiwa. Bongo kweny kona za kuta kwa mfano hawawezi kunyoosha. Ukija kwenye vigae vya chooni au bafuni ni kichekesho.Uko sahihi sana mkuu. Fundi aliyenichinjia baharini aliniambia ni fundi maarufu toka DAR. Na amejenga nyumba za namna hiyo nyingi sana, kwamba amejenga mpaka Zanzibar. Akanionyesha na picha.
Kula leki akaniingiza mkenge. Mvua ya kwanza tu maji ndani. Akarekebisha. Mvua iliyofuata gypsam bodi yote chini, puuu! Tanzania hatuna wataalam wa nyumba hizo....tuna force tu.
Acha wakomeshwe kwa kuokotwza mafundiMafundi maiko hawa wa kwenda kuchungulia paa lilivyoo kwa jirani ndo aje kuku wekea na wewe
Hukutumia wataalamu mf EngineersNyumba hizo ni hatari sn. Sitarudia tena. Zimenipa HASARA KUBWA SANA. Nimeamua kuezeka kawaidi. Sasa nafurahia kuwa nyumbani kwangu kwa...
hahahahwalio wengi wanaojiita mafundi wa mapaa si mafundi wa kweli. Tafuta fundi mzuri na utaachana na story za vijiweni!
Kweli kabisa, tatizo linakuja pale anaehitaji kujengewa hana ujuzi wowote anakuja kushtukia anapata tatzo/matatizo badae.Nyumba nying za namna hiyo kwanza zinatakiwa mtu anaaza msingi akijuwa anataka kujenga
Asili ya Flat + hidden roof ni uturuki, samahani utupatie chanzo cha hiyo taarifa yako mkuu.huu uezekaji asili yake ni kutoka uturuki,lakin tofauti yetu na wenyewe n kwenye paa wanamwaga jamvi ila kwa kwetu
Watu wengi hukimbilia hidden roof kukwepa gharama za nyumba za kawaida yani (mgongo wa tembo) matokeo yake hukutana na gharama mara mbili baada ya kutokea kuvuja n.k.View attachment 2924216
Kumekuwa na malalamiko mengi kuwa nyumba za kuficha Bati maarufu kama Contemporary au Hidden Roof zina shida ya kuvuja sana...