Mbona Mbowe amesahaulika mapema hivi?

Mbona Mbowe amesahaulika mapema hivi?

Wanakushukuru kwa kumkumbuka! Sasa ndiyo ujue dikteta Samia halali!
Sa100 ana miezi 5 tu kwenye uongozi, huku Mbowe akiwa na zaidi ya miaka 15 uongozini. Sasa kwa mwenye akili ashamjua dikteta ni yupi kati ya hawa wawili.
 
Unadhani anaeshika mpini ana raha sana na kushika mpini?

Unafeli sana

Ni heri asieshika mpini,you have a bigger room to operate

Rais hana luxury ya kuua mtu au kuonea mtu kusiwe na backclash really strong

Alikua anasema anataka amani afanye maendeleo,kamshika Mbowe na wenzake,amani imekuja au ndio vurugu zimeongezeka?

Stop this nonsense...

Mama angekubaliana nao something,angepata amani na angefanya hayo maendeleo very fast na peacefully bila makelele yote haya

She will never be peaceful with all these stupidity!
Kwahiyo mtu anaetaka amani ndo azuie sheria isifanye kazi yake? Je kesho akizuia na kwa Sabaya si mtakuja na malalamiko kuwa raisi anavunja sheria kwa kuingilia uhuru wa mahakama ili Sabaya aachiwe. Mbowe ni mtuhumiwa kama walivyo watuhumiwa wengine aina ya kina Sabaya nk. Mama hana uwezo wa kuingilia kesi zao, tuiachie mahakama yenyewe ndo itaamua. RIP Chacha Wangwe
 
Nafikiri hii ndio sababu ya yeye kusahaulika kwa haraka sana. Waswahili wanasema "mkono mtupu haulambwi.
Mnajitahidi sana kutengeneza uongo na baada ya kuumbuka mnajibaraguza,sijui mnavutaga mbangi au,dhihaka mara nyingi humalizwa na ukweli wenyewe na waongo huaibika.
 
Ameingilia uhuru wa mahakama,our job ni ku-point out watu waelewe

Yeye kua na power ya chochote is non of our business

Mbowe kashikwa kwa mashitaka feki,everybody know that!

Nyie mfungeni and whatever you want,nobody gives a shit

Ila mnapoendelea kumshika ni kelele tu mpaka mkome

Amani ya kufanya maendeleo hamtapata mpaka mumuachie ndio tutaacha kuongea na kupiga makelele

Hampati mnachotaka,mnaonekana tu hamna la maana

Na Wangwe kafa kivyake,kama Mbowe alimuua ungekuta kashashitakiwa siku nyingi

Serikali ndio ina instrument of violence and killings,Mbowe au wewe na mimi hatuna

So?

Stop this nonsense wewe!
Kuna msemo unaosema "Moyo wa mtu msitu" ikiwa na maana kwamba mtu anaweza kupanga kufanya jambo fulani, bila mtu mungine kujua kile anachopanga kufanya mwenzake. Pia kuna mtu anaweza kuwa mwema sana mchana, lkn katili zaidi usiku. Kwahiyo kwa watu wenye kujua mambo huwa hatushangazwi na mtu fulan bila kujali cheo chake cha siasa, dini au familia kuhusishwa na tuhuma zozote mpk pale mahakama itapothibitisha vinginevyo, ila kwa vile ww akili yako haipo huru nikiwa na maana imefungwa katika minyororo ya kichama na kisiasa basi bauwezi kuona kama kuna mwanasiasa yoyote wa chama chako anaweza kufanya kosa.
 
Akina Sabaya wako wengi kwenye utawala wa awamu ya tano sema tu Sabaya katolewa sadaka kwa kudharau baadhi ya viongozi waliokuwa juu yake.
Kwahiyo mtu anaetaka amani ndo azuie sheria isifanye kazi yake? Je kesho akizuia na kwa Sabaya si mtakuja na malalamiko kuwa raisi anavunja sheria kwa kuingilia uhuru wa mahakama ili Sabaya aachiwe. Mbowe ni mtuhumiwa kama walivyo watuhumiwa wengine aina ya kina Sabaya nk. Mama hana uwezo wa kuingilia kesi zao, tuiachie mahakama yenyewe ndo itaamua. RIP Chacha Wangwe
 
Sa100 ana miezi 5 tu kwenye uongozi, huku Mbowe akiwa na zaidi ya miaka 15 uongozini. Sasa kwa mwenye akili ashamjua dikteta ni yupi kati ya hawa wawili.
Udikteta siyo muda wa madaraka bali vitendo vya kutoheshimu katiba na sheria za nchi!
 
Udikteta siyo muda wa madaraka bali vitendo vya kutoheshimu katiba na sheria za nchi!
Chadema kilianzishwa kwa misingi ya kidemokrasia, na lengo kuu ilikuwa kuionesha dunia na nchi kwa ujumla jinsi demokrasia ya kweli inavyotakiwa kufanya kazi, ndio maana chama kikaitwa chama cha "demokrasia na maendeleo". Katika kuthibitisha hilo chama kilianza kwa kutengeneza katiba ya chama ambayo ilikuwa inamruhusu mwenyekiti wa chama hicho taifa kukaa madarakani kwa vipindi viwili vya miaka mitano mitano, na baada ya hapo uongozi wake unakuwa umeisha kikatiba, hivyo anampisha mungine ambae atachaguliwa kupitia uchaguzi mkuu wa chama, kisha yule alieshinda atachukua uongozi wa chama aanzie pale alipoishi mwenzie na kukiendeleza zaidi kwa lengo la kukiimarisha chama ili kije kishike madaraka na kuwaongoza wanachi kupitia mifano halisi ya uongozi wa chama chao. Sasa kitendo cha mwenyekiti wa sasa kwenda kinyume na katiba ya chama au desturi ile waliyoanzisha wenyekiti wenzie waliomtangulia kwa kupokezana uongozi kwa njia ya amani na demokrasia, huku ni kuvunja katiba na sheria za chama. Na viongozi wa aina hii siku wakiingia madarakan watabadilisha katiba ya nchi kama walivyofanya kina M7, ili aweze kututawala milele yeye na familia yake. So kwa sifa zake hizi hapo juu, tayari jamaa ni dikteta wa chama ndo maana watanzania wengi hatuwezi kumruhusu aje awe dikteta wa nchi.
 
Waliokuwa wananadi "apende asipende mitano tena" ni nani?
 
Waliokuwa wananadi "apende asipende mitano tena" ni nani?
Nasikia kuna wazee wanaandaliwa ili utapofika muda wake wa kustaafu, wale wazee watajitokeza kumtaka aendelee kuongoza kwa kauli mbiu "kamanda tuvushe" kama ilivyotokea kwa miaka iliyopita ili kuhalalisha mpango wake wa kufanya kile kiti kiwe cha kwake tu milele.
 
Napenda kuwasalimu kwa jina la alietuumba. Ndugu zangu, ingawa inafahamika kuwa CCM na Serikali yake wana uzoefu, ujuzi na uwezo wa kucheza na saikolojia ya wapinzan wao kwa kuanzisha jambo baada ya jambo, lkn safari hii aisee wameweza kufanya jambo ambalo wengi hatukulitarajia hata kidogo katika kipindi hiki ambacho mh Mbowe analala mchongoma na masela mbali mbali kule keko.

Ni kweli tumezoea kuyaona baadhi ya mambo ambayo CCM na serikali yake huyafanya kwa lengo la kuwapoteza maboya wapinzani wao, mfano halisi ni mwaka 2015 ambapo CCM ya mzee Kikwete walikuja na style ya "mchawi mpe mtoto akulelee".

Na kweli style hii ilizaa matunda baada ya wapinzani kuingia mkenge kwa kumpokea mtoto huyo ili wamlee na matokeo yake ilikuwa ni ushindi mtamu kwa CCM, huku wapinzani wakishikana uchawi wenyewe kwa wenyewe.

Sasa baada ya CCM kufanya yale iliyofanya mwaka 2015, safari hii tulijua hali ingekuwa tofauti. Lakini kwa weledi mkubwa CCM imekuja na Mbinu nyingine ya kutuliza hali kuhusu kukamatwa kwa mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani mh Mbowe. Kwanza walikuja na swala la gazeti fulan kuleta taharuki, na pili wakamalizia na picha la Sabaya akimuhusisha hayati Magufuli katika kesi yake.

Na kwahili naweza kusema wamefanikiwa maana wanaharakati wote waliokuwa wanampigania Mbowe aachiwe huku mitandaoni washaonekana kumtelekeza mwenyekiti wao na kuvalia njuga swala la Sabaya.

Hii ndo CCM iliyomshinda hata Nyerere mwenyewe bwana!!
Yupo kwenye Mionyo ya Wapenda Haki na Wenye Hofu ya MUNGU waliomsahau ni WALIOMBAMBIKIZIA KESI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Yupo kwenye Mionyo ya Wapenda Haki na Wenye Hofu ya MUNGU waliomsahau ni WALIOMBAMBIKIZIA KESI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Mungu yupi, yule ambae huwa anachukizwa na kuuwawa kwa watu aina ya Chacha Wangwe kwa sababu ya kuhoji tu uhalali wa mwenyekiti fulan kujimilikisha mali na uongozi chama au? RIP Chacha Wangwe, nina imani roho yako iliyodhulumiwa uhai, inashuhudia kila kinachoendelea hapa duniani.
 
Back
Top Bottom