Watu wanatoka Kigoma kwenda kutafuta usingizi wa mchana Kasulu na kurudi KgmMji wa Kasulu ni zaidi
Mji wa kibiasharaJamani mji wa kahama una lodge na Guests house nyingi Sana...kulikoni ..
Ndo kusema ni mji wa kibiashara Sana kuliko mji wowote Kanda ya Ziwa...
Na madada powa nao hawako nyuma ni wengi wa kutosha ukicheza vibaya umeondoka nao...na hivi Trump anaenda kukomesha mchakato wa Msaada wa ARV kupitia UNSAID na NGO's...apo ndo patakuwa patamu.
Kanisani tena!Hujafika Newala, gesti hadi kanisani
Kwa Kasulu naunga mkonoWatu wanatoka Kigoma kwenda kutafuta usingizi wa mchana Kasulu na kurudi Kgm