Mbona Mji wa Kahama una guest house nyingi hivi ..?

Mbona Mji wa Kahama una guest house nyingi hivi ..?

Morogoro ndio zaidi. Mi naona zinalipa.
Hasa Dumila kimji kidogo saizi ya Chalinze ama Mlandizi lkn kina Guest nyingi mara 3 zaidi ya Mlandizi ama Chalinze.
 
Jamani mji wa kahama una lodge na Guests house nyingi Sana...kulikoni ..
Ndo kusema ni mji wa kibiashara Sana kuliko mji wowote Kanda ya Ziwa...
Na madada powa nao hawako nyuma ni wengi wa kutosha ukicheza vibaya umeondoka nao...na hivi Trump anaenda kukomesha mchakato wa Msaada wa ARV kupitia UNSAID na NGO's...apo ndo patakuwa patamu.
Kahama huwa najilia tu binamu yangu basi .. maana kuna waya hapo
 
Kuna sehemu inaitwa club chiller kuelekea phantom kule nyuma upande wa kushoto, aise wanawake wanakuita eti ukalale nao,jaman uwii
 
Kahama ni wilaya namba moja Tanzania.. Hilo Wala sio la kushangaza.. Na usipochukua chumba mapema unaweza kukosa chumba pamoja na wingi huo w guest houses..
 
Miaka flan nilienda ifakara,,, kila mahali kwenye kale kamji ni Lodge ama guest House!
 
Hizo pesa za madini wakatumie wapi? Wakeshe kwenye mashimo na wakizipata unataka walale nje? Wee buana vipi?
 
Jamani mji wa kahama una lodge na Guests house nyingi Sana...kulikoni ..
Ndo kusema ni mji wa kibiashara Sana kuliko mji wowote Kanda ya Ziwa...
Na madada powa nao hawako nyuma ni wengi wa kutosha ukicheza vibaya umeondoka nao...na hivi Trump anaenda kukomesha mchakato wa Msaada wa ARV kupitia UNSAID na NGO's...apo ndo patakuwa patamu.
Kahama ni mji wa wahamiaji na wengi wao ni masela. Kusipokuwa na guest bouses nyingi masela watadinyia wapi mkuu?
 
Kuna sehemu inaitwa club chiller kuelekea phantom kule nyuma upande wa kushoto, aise wanawake wanakuita eti ukalale nao,jaman uwii
Washenzi Sana wale, afu mamlaka za Kahama zinaona powa tu madada powa kahama kujiuza peupe...yahani kahama kwakweli madadapowa ni majanga.
 
Back
Top Bottom