Mbona Mji wa Kahama una guest house nyingi hivi ..?

Mbona Mji wa Kahama una guest house nyingi hivi ..?

We,lala tu unaulizauliza nini mkuu

Ukiona hivyo ujue pamekucha na midada poa mingi ya Kinyarwanda
 
Jamani mji wa kahama una lodge na Guests house nyingi Sana...kulikoni ..
Ndo kusema ni mji wa kibiashara Sana kuliko mji wowote Kanda ya Ziwa...
Na madada powa nao hawako nyuma ni wengi wa kutosha ukicheza vibaya umeondoka nao...na hivi Trump anaenda kukomesha mchakato wa Msaada wa ARV kupitia UNSAID na NGO's...apo ndo patakuwa patamu.
kuna condom vyumbani?
 
Ukiona sehemu kuna Gesti nyingi
Ujue kuna mambo mawili
1. Biashara ya gesti inalipa(wageni ni wengi)
2. Gesti zinajengwa na wafanyabiashara wakubwa ilo wakopesheke benki. Benki za kitanzania zinahitaji uwe na asset ili uweke dhamana ya kukopea mkopo benki. Watu wa benki huwa wanaelekeza wafanyabiashara wakubwa wajenge gesti au hoteli au stoo au godown au shule ili wakopesheke kiurahisi
 
Nilishuka Kahama na bus usiku kwa mara ya kwanza nikakutana na jamaa dereva tax ananiambia bro tax hii hapa kama unahitaji Lodge nakupeleka, nikamwambia sina hela ya kulipia Tax akasema Tax hii ni bure mwenye Lodge nayokupeleka na analipia nilishangaa.

Nikamwambia twende jamaa kweli akanipeleka kwenye Lodge moja nzuri sana cha ajabu ni kuwa vyumba ni 15k to 50K hicho cha 15K chenyewe ni chumba cha maana haswa na kabla hajaondoka jamaa akaniuliza asubuhi unaendelea na safari nikufate sangapi au uko na mambo yako?

Nikajiuliza inawezekanaje hii? Nikaja kugundua Lodge ni nyingi sana alafu ni za kisasa kwahiyo ushindani ni mkubwa matajiri wameenda extra miles kufata wateja hadi stendi
 
Jamani mji wa kahama una lodge na Guests house nyingi Sana...kulikoni ..
Ndo kusema ni mji wa kibiashara Sana kuliko mji wowote Kanda ya Ziwa...
Na madada powa nao hawako nyuma ni wengi wa kutosha ukicheza vibaya umeondoka nao...na hivi Trump anaenda kukomesha mchakato wa Msaada wa ARV kupitia UNSAID na NGO's...apo ndo patakuwa patamu.
Mji muhimu wa kibiashara huo.
 
Ndo kuliko mji wowote Kanda ya Ziwa...
Na madada powa nao hawako nyuma ni wengi wa kutosha ukicheza vibaya umeondoka nao...na hivi Trump anaenda kukomesha mchakato wa Msaada wa ARV kupitia UNSAID na NGO's...apo ndo patakuwa patamu.

Ukiwa unafanya starehe zako. Uwe unakumbuka na ya Trump pia
 
Back
Top Bottom