Mbona Mji wa Kahama una guest house nyingi hivi ..?

Jamani mji wa kahama una lodge na Guests house nyingi Sana...kulikoni ..
Ndo kusema ni mji wa kibiashara Sana kuliko mji wowote Kanda ya Ziwa...
Na madada powa nao hawako nyuma ni wengi wa kutosha ukicheza vibaya umeondoka nao...na hivi Trump anaenda kukomesha mchakato wa Msaada wa ARV kupitia UNSAID na NGO's...apo ndo patakuwa patamu.
Chanzo kizuri cha mapato
 
Sidhani kama unaweza kuzidi guests na Lodge za ushirombo kule ni balaa
 
Yaani kila baada ya nyumba mbili kuna gesti, nilishangaa sana aisee
Kule kuna madini sasa hao watafikia wapi na wachimbaji wengi vijana ni wageni, nikama Dar majiko yakukaanga chips yalivyojaa barabarani
 
Back
Top Bottom