Mbona Mji wa Kahama una guest house nyingi hivi ..?

Chanzo kizuri cha mapato
 
Sidhani kama unaweza kuzidi guests na Lodge za ushirombo kule ni balaa
 
Yaani kila baada ya nyumba mbili kuna gesti, nilishangaa sana aisee
Kule kuna madini sasa hao watafikia wapi na wachimbaji wengi vijana ni wageni, nikama Dar majiko yakukaanga chips yalivyojaa barabarani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…