Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Wapinzani uchwara kama wewe ndo ninaowaongelea. Mnatanguliza vyama kabla ya nchi. Ila tatizo wapinzani wa Tanzania wengi wao elimu duni. Lema, Mbowe, Sugu wanaweza kushauri kitu gani cha kitaalamu? Hasahasa Lema atakimbilia kutabiria watu vifo.Sasa mpinzani hawezi kukupa mbinu kwa sababu anajua utatumia hizo mbinu kuendelea kubaki madarakani... Ingekuwa hivyo vyama pinzani vinatoa mbinu za suluhisho kwenye chama cha madaraki, basi vyama vingi vingedumu madarakani toka enzi na enzi.
CCM hata wakipewa suluhisho, hawawezi kutoa credit kwa vyama pinzani. Na vyama pinzani wanaona bora wabaki na suluhisho zao
mkoloni alimuandaa nani wewe? Hao akina Bakhresa walioanza kuwa wauza viatu vya kushona? Kwa nini hatutaki kutambua juhudi za watu kujikomboa lazima tuambatanishe na ukabila fulani?Mkoloni aliwaandaa,kumbuka wao walikuwa second class michongo
Mingi walikuwa wanapewa na kuelimishwa
Ova
Ondoka madarakani ndio uone kama Nchi itaweza kuongozwa au lah....sasa madaraka yote umeshikiria wewe, utajuaje kama wengine wanaweza kuongoza au lah? Kiti cha madaraka umeshikiria wewe tangu tupate Uhuru, alafu unakashifu Vyama ambavyo hamtaki kivipa madaraka... Tukizungumzia umaskini wa nchi, lawama lazima ziangukie CCM, kwa sababu nyie ndio mmeshikilia madaraka tangu tupate uhuru, CCM ingekuwa ni mtu basi isingekuwa tofauti na MuseveniWapinzani uchwara kama wewe ndo ninaowaongelea. Mnatanguliza vyama kabla ya nchi. Ila tatizo wapinzani wa Tanzania wengi wao elimu duni. Lema, Mbowe, Sugu wanaweza kushauri kitu gani cha kitaalamu? Hasahasa Lema atakimbilia kutabiria watu vifo.
mkoloni alimuandaa nani wewe? Hao akina Bakhresa walioanza kuwa wauza viatu vya kushona? Kwa nini hatutaki kutambua juhudi za watu kujikomboa lazima tuambatanishe na ukabila fulani?
Sasa si bora kuendelea na CCM angalau tumeona kasoro zao na walipopatia kuliko kuachia nchi kwa watu ambao mwaka mzima ni malalamiko tu huku hawatoi suluhisho lolote. Mara nyingi mpinzani akifanya kosa majibu yake ni "mbona CCM wamefanya"? Kuna makada wangapi waandamizi wa upinzani wanaoongea mambo kitaalamu ukimtoa Lipumba na mara chache Zitto?Ondoka madarakani ndio uone kama Nchi itaweza kuongozwa au lah....sasa madaraka yote umeshikiria wewe, utajuaje kama wengine wanaweza kuongoza au lah? Kiti cha madaraka umeshikiria wewe tangu tupate Uhuru, alafu unakashifu Vyama ambavyo hamtaki kivipa madaraka... Tukizungumzia umaskini wa nchi, lawama lazima ziangukie CCM, kwa sababu nyie ndio mmeshikilia madaraka tangu tupate uhuru, CCM ingekuwa ni mtu basi isingekuwa tofauti na Museveni
Hii nchi haiko chini ya autocracy (ufalme), hii nchi ni ya kidemokrasia kuruhusu mfumo wa vyama vingi kutawala... Hayo mambo ya Single party system tuliachana nayo mwaka 1992.Sasa si bora kuendelea na CCM angalau tumeona kasoro zao na walipopatia kuliko kuachia nchi kwa watu ambao mwaka mzima ni malalamiko tu huku hawatoi suluhisho lolote. Mara nyingi mpinzani akifanya kosa majibu yake ni "mbona CCM wamefanya"? Kuna makada wangapi waandamizi wa upinzani wanaoongea mambo kitaalamu ukimtoa Lipumba na mara chache Zitto?
CCM inaenda kuanguka miaka ijayo kwa sababu vizazi vilivyozaliwa enzi za ujamaa vinaenda vinakufa. Vinakuja vizazi vya mfumo wa vyama vingi kuanzia miaka ya 1990.Sasa si bora kuendelea na CCM angalau tumeona kasoro zao na walipopatia kuliko kuachia nchi kwa watu ambao mwaka mzima ni malalamiko tu huku hawatoi suluhisho lolote. Mara nyingi mpinzani akifanya kosa majibu yake ni "mbona CCM wamefanya"? Kuna makada wangapi waandamizi wa upinzani wanaoongea mambo kitaalamu ukimtoa Lipumba na mara chache Zitto?
Race ya bakhresa umeiona,ana uswahili kwani [emoji1]mkoloni alimuandaa nani wewe? Hao akina Bakhresa walioanza kuwa wauza viatu vya kushona? Kwa nini hatutaki kutambua juhudi za watu kujikomboa lazima tuambatanishe na ukabila fulani?
KabisaPigo za Bakhressa ni za kihindi na kiarabu... Hana Uswahili hata kidogo
Wewe umefafanua vyema sana. Elimu ni muhimu. Kina Hushpupi pamoja na uhalifu wao ila walikuwa wamebobea kwenye elimu ya IT na Banking. Elimu, elimu, elimu.Mkuu wao inawezekana wana strategies za kibiashara zaidi na wanasoma sana na wanakuwa na ushindani pia
Wana hamu ya kuwa na maisha ya juu na kuishi kwa furaha katika nchi yao
Ndio maana unakuta hata fraudsters wengi duniani ni wao wanacheza na kalamu sana ila ni wachapa kazi pia na majizi wamo sana
Wamewazidi sana akili wazungu kwa scammers
Sisi tuna tatizo moja mkuu elimu ya biashara hatuna kabisa na uongo na utapeli ni mwingi
Wengi wanafanya kazi bila akili
Angalia mafundi wa aina zote hebu niambie umewahi kukutana na fundi umeme ana gari lake ambalo limebeba vifaa vyake vitupu na anashuka na ngazi na vifaa
Au fundi seremala na tools zake zote
We fundi unampa kazi halafu anakuja hana hata nyundo
Unamuuliza una miaka mingapi kwenye kazi hii anakuambia aliachiwa na baba yake miaka 8 iliyopita na anadaiwa milango na madawati kila kona
Unategemea watafika mahali hao
Angalia mfano UK kuna makampuni ya watu binafsi wana maduka 650 nchi nzima
Sisi kuwa na maduka matatu tu huwezi unajua kwanini? Management
Kivipi?Ni hatari sana kwa usalama wa mataifa yetu
Huu uzi ni mkubwa sana kwa uwezo wako wa kufikiri. Nakushauri utumie tu emoji kutoa maoni yako badala ya kuandika vitu vilivyokaa kisiasa.CCM inaenda kuanguka miaka ijayo kwa sababu vizazi vilivyozaliwa enzi za ujamaa vinaenda vinakufa. Vinakuja vizazi vya mfumo wa vyama vingi kuanzia miaka ya 1990.
Usije kudhani CCM itadumu madarakani milele, miaka ijayo huko mpaka 2050 CCM itaanguka tu
Hao jamaa wanamipango,wachapakazi,Mkuu wao inawezekana wana strategies za kibiashara zaidi na wanasoma sana na wanakuwa na ushindani pia
Wana hamu ya kuwa na maisha ya juu na kuishi kwa furaha katika nchi yao
Ndio maana unakuta hata fraudsters wengi duniani ni wao wanacheza na kalamu sana ila ni wachapa kazi pia na majizi wamo sana
Wamewazidi sana akili wazungu kwa scammers
Sisi tuna tatizo moja mkuu elimu ya biashara hatuna kabisa na uongo na utapeli ni mwingi
Wengi wanafanya kazi bila akili
Angalia mafundi wa aina zote hebu niambie umewahi kukutana na fundi umeme ana gari lake ambalo limebeba vifaa vyake vitupu na anashuka na ngazi na vifaa
Au fundi seremala na tools zake zote
We fundi unampa kazi halafu anakuja hana hata nyundo
Unamuuliza una miaka mingapi kwenye kazi hii anakuambia aliachiwa na baba yake miaka 8 iliyopita na anadaiwa milango na madawati kila kona
Unategemea watafika mahali hao
Angalia mfano UK kuna makampuni ya watu binafsi wana maduka 650 nchi nzima
Sisi kuwa na maduka matatu tu huwezi unajua kwanini? Management
Hakuna uhatari wowoteNi hatari sana kwa usalama wa mataifa yetu