Mbona orodha ya matajiri Tanzania, Kenya, Uganda wengi ni Waarabu na Wahindi na si waafrika weusi?

Hawa wahindi na waarabu wanafanikiwa kwenye biashara kwa sababu:
1.Wanaungishana biashara kubwa (B2B) wao kwa wao kwa hiyo Hela haitoki kwenye mzunguko wao kirahisi.
2.Wanawachukulia weusi kama wateja tu (end user) so always weusi watapeleka Hela kwa mhindi.
3.Kutumia weusi as cheap labor (mnaweza kufanya kazi sawa na mhindi ila yeye atalipwa zaidi)
4.Wanaimport mostly from their countries of origin.
5.Wanatumia ushawishi WA fedha kupata biashara kubwa kutoka public sector.
 
Hizo hizo reasons bado zinafeli zikitumiwa na muafrika kwa nini?
 
Kumkuta au kumfikia mtu aliyekutangulia kimaisha au kimapato ni kazi sana. Kihistoria wahindi na waarabu walikuwa daraja la pili na weusi daraja la tatu, kwahiyo hata shule walizosoma zilikuwa bora tofauti na za weusi. Sina uhakika kama masomo yalikuwa yanafanana! Wahindi/waarabu walipewa nafasi za Uongozi makazini na wakazitumia vizuri na kuendeleza familia zao. Vile vile wahindi/ waarabu waliweza kuaminika kirahisi na Mabenki yetu, na kukopeshwa pesa nzuri bila vikwazo, kwahiyo mikopo kwao ilikuwa rahisi kupata. Hawa watanzania wenye asili ya kihindi/ kiaarabu wana mshikamano wa hali ya juu sana, wanaweza kubanana katika nyumba moja na familia nzima, wakati wanasaka hela . Mtanzania mweusi akipata kibarua anataka kupangisha kwake peke yake.
 
kila mtu na akili yake, ni watanzania weusi wengi wanao utajiri na wanasifika lakini hatuna akili ya biashara na hatutaki kujifunza. Hivi sasa kabila la wakinga wanasifika kwa biashara lakini inafikia mpaka kiwango fulani tu halafu inakomea hapo hapo. Labda wanaojaribu kwa sasa ni wachaga Reginald Mengi aliwaonyesha mfano.
 
Race ya bakhresa umeiona,ana uswahili kwani [emoji1]

Ova
nimekupa mfano wa Bakhresa kwa vile hakuanzia kwenye utajiri na wala hakurithi kutoka kwa wazazi. Sasa nyinyi waafrika muna mang'ombe na mambuzi mengi tu ambayo mungeyauza na kuanza kufanya investments kwenye vitu vyengine pengine mungekuwa matajiri kuliko hata hao wahindi na waarabu.
 
Hizo hizo reasons bado zinafeli zikitumiwa na muafrika kwa nini?
Waafrika hawana mikakati ya gizani kuendesha biashara, muhindi kesi ya laki 5 anaweza kuhonga hata milioni mbili ili awe sehemu salama, hawa kanjibah kutoa 1/3 ya mradi kama hongo na yeye abakie na 2/3 haoni tatizo njoo sasa kwenye ngozi nyeusi 😎😅

Kingine usumamizi wa biashara, mtoto wa dada anasimamia biashara ya ndugu kwa moyo kama yakwake weka mtu mweusi anaanza hesabu za kuiba anunue IST na kujenga madale na kinyerezi
 
Africa has a lot of Billionaires and millionaires who don't appear on Forbes list, Because they cannot show where their money came from and what exactly is their source of wealthy.
 
Hatuna mipango

Ova
 
Endelea na huu upuuzi wako ili upige hatua kiuchumi.
 
Hao jamaa wanamipango,wachapakazi,
Wanajuwa kuendeleza Mali ya urithi
Ngozi nyeusi kazi kubaniana,kukomoana kufanyiana figisu tu

Ova
Sijui wanapata faida gani maana unakuta mpaka mke anamuibia mume wake
Mtoto anamuuwa baba yake kisa arithi mali halafu baada ya mwaka hana hata senti

Biashara hawaziwezi ila majungu ndio sehemu yake
Wanajifunza wizi tangu utoto akikuwa hata awe waziri ni mwizi tu haachi asili
 
Hatuna mipango

Ova
Wahindi wengi wana viwanda na utajiri wa kizazi cha tatu nyuma

Yaani wana mali zilizoanza kuwepo miaka ya 50

So wachumaji wa mali hizi wamezaliwa au kuhamia na mitaji miaka ya 20 mwishoni na 30 ila wengi wamezaliwa miaka ya 1930- wakaanza kuwekeza Tanganyika kabla ya uhuru

Kwasababu wana utaratibu mzuri wa kurithisha wakarithisha kwa watoto na sasa wamiliki ni wajukuu
 
Hiyo list ya Tanzania ya mwaka Gani??Yani reginard mengi amzidi utajiri bakhresa??fake list.
 
Wewe umefafanua vyema sana. Elimu ni muhimu. Kina Hushpupi pamoja na uhalifu wao ila walikuwa wamebobea kwenye elimu ya IT na Banking. Elimu, elimu, elimu.
Mkuu ni kweli
Unamkuta kinyozi ila ana elimu yake kubwa tu na pembeni ana laptop yake anafanya yake na anaingiza hela nzuri tu
Sisi simu kazi kuangalia badoo na tiktok jitu zima kutwa kucheka na Simu kama tahira

Yaani unashangaa mtu hata kuwaza anaona uvivu
 
Mbona na wewe unalalamika bila kutoa ufumbuzi?
 
'na kwann matajiri wengi ni wanaoitwa wavaa kobazi? Wagalatia wao wanafeli wapi?wakati kutwa wanaponda wavaa kobazi kuwa eti hawana elimu,

Wagalatia wengi mtaani ndio wapangaji kwenye nyumba za wavaa kobaz,

Walevi wengi ni wagalatia, aisee dini zenu hizii!!
 
Ila hao wote wana uraia wa nchi hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…