Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo hizo reasons bado zinafeli zikitumiwa na muafrika kwa nini?Hawa wahindi na waarabu wanafanikiwa kwenye biashara kwa sababu:
1.Wanaungishana biashara kubwa (B2B) wao kwa wao kwa hiyo Hela haitoki kwenye mzunguko wao kirahisi.
2.Wanawachukulia weusi kama wateja tu (end user) so always weusi watapeleka Hela kwa mhindi.
3.Kutumia weusi as cheap labor (mnaweza kufanya kazi sawa na mhindi ila yeye atalipwa zaidi)
4.Wanaimport mostly from their countries of origin.
5.Wanatumia ushawishi WA fedha kupata biashara kubwa kutoka public sector.
Kumkuta au kumfikia mtu aliyekutangulia kimaisha au kimapato ni kazi sana. Kihistoria wahindi na waarabu walikuwa daraja la pili na weusi daraja la tatu, kwahiyo hata shule walizosoma zilikuwa bora tofauti na za weusi. Sina uhakika kama masomo yalikuwa yanafanana! Wahindi/waarabu walipewa nafasi za Uongozi makazini na wakazitumia vizuri na kuendeleza familia zao. Vile vile wahindi/ waarabu waliweza kuaminika kirahisi na Mabenki yetu, na kukopeshwa pesa nzuri bila vikwazo, kwahiyo mikopo kwao ilikuwa rahisi kupata. Hawa watanzania wenye asili ya kihindi/ kiaarabu wana mshikamano wa hali ya juu sana, wanaweza kubanana katika nyumba moja na familia nzima, wakati wanasaka hela . Mtanzania mweusi akipata kibarua anataka kupangisha kwake peke yake.Ukiangia orodha ya watu matajiri Nchini Kenya na Tanzania utakuta Wahindi na Waarabu ndio wanaongoza kwa mali na utajiri
Cheki orodha ya watu matajiri nchini Kenya hapo chini.
Tizama pia list ya matajiri kutoka Tanzania.
Na hapo kwenye list ya Tanzania ni kwa bahati mbaya tu Reginald Mengi naye alifariki hivyo orodha kubaki na Wahindi na waarabu watupu.
Uganda nayo list ndio kama ifuatavyo
Ukitizama hizo Top Five yote orodha utaikuta wengi ni Wahindi na Waarabu, na waafrika weusi ni mmoja mmoja.
SWALI: Hivi waafrika weusi wa Kenya, Uganda, Tanzania tunafeli wapi.... Wanakuja waarabu na wahindi wanawekeza kwetu wakishapata pesa za kutosha wananunua uraia hili wasiporwe mali zao. Wazawa kwenye orodha ya Utajiri tumebaki kutoleana macho tukisifia Wahindi na Waarabu kwa kuwekeza kwetu, hawamu inayofuata watakuwa wachina.
Wazungu hawawezi kuwekeza kwa sababu ya hile hali ya kuwatafsiri kama mabeberu au wakoloni, hivyo mara nyingi ulazimika kuoa mke au kupata business partner wa kitanzania hili biashara ziende. Hila hawa Waarabu na Wahindi kwa sababu hawatafsiriwi kama mabeberu na wakoloni wamekuwa wakiteka maeneo, na kuanzisha mambo kadha wa kadha bila vizuizi na wakifanikisha basi wachache kwenye familia inabidi wabadili uraia kuwa watanzania hili mali ziendelee kubaki mikononi mwao, ikumbukwe kwa sheria za Tanzania haziruhusu raia mgeni kumilki ardhi, labda aoe mke wa kitanzania ambaye ndio atatumika kumiliki ardhi au abadilishe uraia, wazungu wamekuwa wakitumia hii ya kuoa, huku waarabu na wahindi wamekuwa wakitumia hii ya mmoja kwenye familia yao kubadili uraia hili kupata kibali cha umiliki wa mali na ardhi.
Wanaijeria kidogo wao ndio wanatamba kwenye ardhi yao, ni ngumu sana kumkuta muarabu au muhindi kwenye list ya matajiri huko Nigeria, South Africa wao wazungu na Wahindi ndio wanakimbiza kwa utajiri huko kwao.
Waafrika mashariki tunafeli wapi mpaka wahindi na waarabu wanatamba kwenye ardhi yetu kwa rasilimali zetu? Nini kifanyike kuweza kuongeza orodha ya matajiri wenye asili ya kitanzania kwenye orodha yetu kama Reginald Mengi?
kila mtu na akili yake, ni watanzania weusi wengi wanao utajiri na wanasifika lakini hatuna akili ya biashara na hatutaki kujifunza. Hivi sasa kabila la wakinga wanasifika kwa biashara lakini inafikia mpaka kiwango fulani tu halafu inakomea hapo hapo. Labda wanaojaribu kwa sasa ni wachaga Reginald Mengi aliwaonyesha mfano.Mbona wawe hao hao waarabu na wahindi. Umezungumzia kwamba alianza na kuuza viatu vya kushona, ni watanzania weusi wangapi pia walianza nae hiyo biashara ila sasa hawapo?
Shida ni serikali, ukiwa muwekezaji mweusi unapigwa sana vita, ila ukiwa na ngozi nyeupe unaonekana ndio unastahili
nimekupa mfano wa Bakhresa kwa vile hakuanzia kwenye utajiri na wala hakurithi kutoka kwa wazazi. Sasa nyinyi waafrika muna mang'ombe na mambuzi mengi tu ambayo mungeyauza na kuanza kufanya investments kwenye vitu vyengine pengine mungekuwa matajiri kuliko hata hao wahindi na waarabu.Race ya bakhresa umeiona,ana uswahili kwani [emoji1]
Ova
Ushakua kama mfumoHizo hizo reasons bado zinafeli zikitumiwa na muafrika kwa nini?
Waafrika hawana mikakati ya gizani kuendesha biashara, muhindi kesi ya laki 5 anaweza kuhonga hata milioni mbili ili awe sehemu salama, hawa kanjibah kutoa 1/3 ya mradi kama hongo na yeye abakie na 2/3 haoni tatizo njoo sasa kwenye ngozi nyeusi 😎😅Hizo hizo reasons bado zinafeli zikitumiwa na muafrika kwa nini?
Hatuna mipangonimekupa mfano wa Bakhresa kwa vile hakuanzia kwenye utajiri na wala hakurithi kutoka kwa wazazi. Sasa nyinyi waafrika muna mang'ombe na mambuzi mengi tu ambayo mungeyauza na kuanza kufanya investments kwenye vitu vyengine pengine mungekuwa matajiri kuliko hata hao wahindi na waarabu.
Endelea na huu upuuzi wako ili upige hatua kiuchumi.Ukiangia orodha ya watu matajiri Nchini Kenya na Tanzania utakuta Wahindi na Waarabu ndio wanaongoza kwa mali na utajiri
Cheki orodha ya watu matajiri nchini Kenya hapo chini.
Tizama pia list ya matajiri kutoka Tanzania.
Na hapo kwenye list ya Tanzania ni kwa bahati mbaya tu Reginald Mengi naye alifariki hivyo orodha kubaki na Wahindi na waarabu watupu.
Uganda nayo list ndio kama ifuatavyo
Ukitizama hizo Top Five yote orodha utaikuta wengi ni Wahindi na Waarabu, na waafrika weusi ni mmoja mmoja.
SWALI: Hivi waafrika weusi wa Kenya, Uganda, Tanzania tunafeli wapi.... Wanakuja waarabu na wahindi wanawekeza kwetu wakishapata pesa za kutosha wananunua uraia hili wasiporwe mali zao. Wazawa kwenye orodha ya Utajiri tumebaki kutoleana macho tukisifia Wahindi na Waarabu kwa kuwekeza kwetu, hawamu inayofuata watakuwa wachina.
Wazungu hawawezi kuwekeza kwa sababu ya hile hali ya kuwatafsiri kama mabeberu au wakoloni, hivyo mara nyingi ulazimika kuoa mke au kupata business partner wa kitanzania hili biashara ziende. Hila hawa Waarabu na Wahindi kwa sababu hawatafsiriwi kama mabeberu na wakoloni wamekuwa wakiteka maeneo, na kuanzisha mambo kadha wa kadha bila vizuizi na wakifanikisha basi wachache kwenye familia inabidi wabadili uraia kuwa watanzania hili mali ziendelee kubaki mikononi mwao, ikumbukwe kwa sheria za Tanzania haziruhusu raia mgeni kumilki ardhi, labda aoe mke wa kitanzania ambaye ndio atatumika kumiliki ardhi au abadilishe uraia, wazungu wamekuwa wakitumia hii ya kuoa, huku waarabu na wahindi wamekuwa wakitumia hii ya mmoja kwenye familia yao kubadili uraia hili kupata kibali cha umiliki wa mali na ardhi.
Wanaijeria kidogo wao ndio wanatamba kwenye ardhi yao, ni ngumu sana kumkuta muarabu au muhindi kwenye list ya matajiri huko Nigeria, South Africa wao wazungu na Wahindi ndio wanakimbiza kwa utajiri huko kwao.
Waafrika mashariki tunafeli wapi mpaka wahindi na waarabu wanatamba kwenye ardhi yetu kwa rasilimali zetu? Nini kifanyike kuweza kuongeza orodha ya matajiri wenye asili ya kitanzania kwenye orodha yetu kama Reginald Mengi?
Sijui wanapata faida gani maana unakuta mpaka mke anamuibia mume wakeHao jamaa wanamipango,wachapakazi,
Wanajuwa kuendeleza Mali ya urithi
Ngozi nyeusi kazi kubaniana,kukomoana kufanyiana figisu tu
Ova
Wahindi wengi wana viwanda na utajiri wa kizazi cha tatu nyumaHatuna mipango
Ova
saa 24 yani hadi wakiwa usingizini ni kuchapa kazi.Hao hawashindi baa na kusahau majukumu yao na ni wachapakazi haswa. Saa 24 wanapatika kurebisha changamoto zinazotokea kwenye shughuli zao.
Wanajua cashflow na ni calculated risk takers.
Mkuu ni kweliWewe umefafanua vyema sana. Elimu ni muhimu. Kina Hushpupi pamoja na uhalifu wao ila walikuwa wamebobea kwenye elimu ya IT na Banking. Elimu, elimu, elimu.
Mbona na wewe unalalamika bila kutoa ufumbuzi?Mzee wa Kino sababu yako ina mashiko ila siikubali 100%. Mwaka 1967 tuliwanyang'anya matajiri hasa wahindi mali zao na kuzitaifisha lakini miaka zaidi ya 50 baadae bado wapo wanaongoza uchumi wetu... miaka ya Sokoine pia watu walifilisiwa lakini hakuna matokeo yoyote yaliyopatikana. Baadae ndo haohao tuliowanyang'anya mali zao tukaanza kuwauzia mali zetu kwa bei ya kutupwa kwa kile kinachoitwa ubinafsishaji. Huwa ninawaambia watu matatizo yetu yameanzia mbali sana tangu enzi za mababu zetu. Jiulize wakati mababu wa kizungu wanaijenga Eiffel Tower pale Paris mwaka 1905, babu zetu walikuwa wanafanya nini? Mzee wa Kino bado tuna shughuli pevu sana kujikomboa. Kuna wapuuzi watasema tatizo ni CCM bila kukumbuka kwamba hata hao wapinzani hawajawahi kuja na suluhisho nini kifanyike zaidi ya kulalamika. Sasa hivi kuna crisis ya dola ila sijasikia mpinzani akitoa suggestion ya kitaalamu zaidi ya kulalamika.
'na kwann matajiri wengi ni wanaoitwa wavaa kobazi? Wagalatia wao wanafeli wapi?wakati kutwa wanaponda wavaa kobazi kuwa eti hawana elimu,Ukiangia orodha ya watu matajiri Nchini Kenya na Tanzania utakuta Wahindi na Waarabu ndio wanaongoza kwa mali na utajiri
Cheki orodha ya watu matajiri nchini Kenya hapo chini.
Tizama pia list ya matajiri kutoka Tanzania.
Na hapo kwenye list ya Tanzania ni kwa bahati mbaya tu Reginald Mengi naye alifariki hivyo orodha kubaki na Wahindi na waarabu watupu.
Uganda nayo list ndio kama ifuatavyo
Ukitizama hizo Top Five yote orodha utaikuta wengi ni Wahindi na Waarabu, na waafrika weusi ni mmoja mmoja.
SWALI: Hivi waafrika weusi wa Kenya, Uganda, Tanzania tunafeli wapi.... Wanakuja waarabu na wahindi wanawekeza kwetu wakishapata pesa za kutosha wananunua uraia hili wasiporwe mali zao. Wazawa kwenye orodha ya Utajiri tumebaki kutoleana macho tukisifia Wahindi na Waarabu kwa kuwekeza kwetu, hawamu inayofuata watakuwa wachina.
Wazungu hawawezi kuwekeza kwa sababu ya hile hali ya kuwatafsiri kama mabeberu au wakoloni, hivyo mara nyingi ulazimika kuoa mke au kupata business partner wa kitanzania hili biashara ziende. Hila hawa Waarabu na Wahindi kwa sababu hawatafsiriwi kama mabeberu na wakoloni wamekuwa wakiteka maeneo, na kuanzisha mambo kadha wa kadha bila vizuizi na wakifanikisha basi wachache kwenye familia inabidi wabadili uraia kuwa watanzania hili mali ziendelee kubaki mikononi mwao, ikumbukwe kwa sheria za Tanzania haziruhusu raia mgeni kumilki ardhi, labda aoe mke wa kitanzania ambaye ndio atatumika kumiliki ardhi au abadilishe uraia, wazungu wamekuwa wakitumia hii ya kuoa, huku waarabu na wahindi wamekuwa wakitumia hii ya mmoja kwenye familia yao kubadili uraia hili kupata kibali cha umiliki wa mali na ardhi.
Wanaijeria kidogo wao ndio wanatamba kwenye ardhi yao, ni ngumu sana kumkuta muarabu au muhindi kwenye list ya matajiri huko Nigeria, South Africa wao wazungu na Wahindi ndio wanakimbiza kwa utajiri huko kwao.
Waafrika mashariki tunafeli wapi mpaka wahindi na waarabu wanatamba kwenye ardhi yetu kwa rasilimali zetu? Nini kifanyike kuweza kuongeza orodha ya matajiri wenye asili ya kitanzania kwenye orodha yetu kama Reginald Mengi?
Ila hao wote wana uraia wa nchi hizoUkiangia orodha ya watu matajiri Nchini Kenya na Tanzania utakuta Wahindi na Waarabu ndio wanaongoza kwa mali na utajiri

Naunga mkono hoja 👍👏Iko hivyo Afrika nzima