Standards Person
JF-Expert Member
- Apr 22, 2021
- 672
- 860
Hapo anachokonoa kifaa kinaitwa Basata,Clifford, Bashungwa,Abasi nk
Fanya overhaul mama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo anachokonoa kifaa kinaitwa Basata,Clifford, Bashungwa,Abasi nk
Hasa TBCTumeshazoea mtindo wa viongozi kuonyeshwa kwenye TV na vyombo vingine wakiwa kwenye ibada.
Magufuli alionekana na hata mara ya mwisho ilikuwa ni St. Peter.
Kassima Majaliwa alionyeshwa akiwa msikitini na akatuambia Rais Magufuli yuko mzima haumwi chochote anachapa kazi.
Philip Mpango naye alipoenda kanisani juzijuzi naye kama kawaida tukaonyeshwa.
Samia Suluhu sijaona hata siku moja akionyeshwa akiwa anasali msikitini.
Kwa nini haonyeshwi.
Jinsia yake na hata dini kwa sababu kuna sheria ki dini ambazo kwa mwanamke haopendezi kuonyeshwa basi inatosha tu kuonekana akishiriki katika maombi ya hadhara nayopia ni ibada.Tumeshazoea mtindo wa viongozi kuonyeshwa kwenye TV na vyombo vingine wakiwa kwenye ibada.
Magufuli alionekana na hata mara ya mwisho ilikuwa ni St. Peter.
Kassima Majaliwa alionyeshwa akiwa msikitini na akatuambia Rais Magufuli yuko mzima haumwi chochote anachapa kazi.
Philip Mpango naye alipoenda kanisani juzijuzi naye kama kawaida tukaonyeshwa.
Samia Suluhu sijaona hata siku moja akionyeshwa akiwa anasali msikitini.
Kwa nini haonyeshwi.
Kuna kujionesha "ucha Mungu" na kuna kutaka sifa za kijinga!! Ah kwanini TV ziwafuate viongozi katika nyumba za ibada ikiwa serikali haina dini?Tumeshazoea mtindo wa viongozi kuonyeshwa kwenye TV na vyombo vingine wakiwa kwenye ibada.
Magufuli alionekana na hata mara ya mwisho ilikuwa ni St. Peter.
Kassima Majaliwa alionyeshwa akiwa msikitini na akatuambia Rais Magufuli yuko mzima haumwi chochote anachapa kazi.
Philip Mpango naye alipoenda kanisani juzijuzi naye kama kawaida tukaoneshwa.
Samia Suluhu sijaona hata siku moja akionyeshwa akiwa anasali msikitini.
Kwanini haonyeshwi.
Wewe nimvuta bangi?Siyo kila udwanzi aliokuwa akifanya mwendazake mama aige,anaenda church kuwasimanga wananchi utadhan watoto wake vile,lawama kila siku,sasa alikuwa anaenda for prayers au kudanga
Well said.Jinsia yake na hata dini kwa sababu kuna sheria ki dini ambazo kwa mwanamke haopendezi kuonyeshwa basi inatosha tu kuonekana akishiriki katika maombi ya hadhara nayopia ni ibada.
Aaaah nakumbuka hayati alimtumbua aliyekuwa Mkurugenzi wa TANESCO....Felichesm Mramba...akiwa kanisan huko BukobaHaitakiwi kiongozi yeyote kwenda kuhutubia Taifa akiwa kwenye nyumba yake ya ibada..
Ibada ni suala lake binafsi..
Kutoa amri na kufukuza watu wakati unahutubia kanisani sio sahihi
Ukumbuke kwa imani ya kiislamu wanawake wanakaa nyuma, na silazima akaswalie msikitini wengi huswali nyumbaniTumeshazoea mtindo wa viongozi kuonyeshwa kwenye TV na vyombo vingine wakiwa kwenye ibada.
Magufuli alionekana na hata mara ya mwisho ilikuwa ni St. Peter.
Kassima Majaliwa alionyeshwa akiwa msikitini na akatuambia Rais Magufuli yuko mzima haumwi chochote anachapa kazi.
Philip Mpango naye alipoenda kanisani juzijuzi naye kama kawaida tukaoneshwa.
Samia Suluhu sijaona hata siku moja akionyeshwa akiwa anasali msikitini.
Kwanini haonyeshwi.
Ibada sio matangazo. Ni mazungumzo/maombi ya Mja na Mola wake. Hizo kiki za Matv nk ni mambo ya maonesho na Mungu hapendi. Huenda mama pia si mpenzi wa hizo mambo ndio maana hata TBC siku hizi wanaonesha zao tu Ubongo Kids. Hakuna tena habari za Kishindo Awamu ya ngapi sijui na vipindi kwa mapambio kwa mwabadamu.Tumeshazoea mtindo wa viongozi kuonyeshwa kwenye TV na vyombo vingine wakiwa kwenye ibada.