Mbona Rais Samia anaturudisha Dar es Salaam wakati Makao Makuu ni Dodoma?

Mi nadhan angekua anaapisha kwa ku rotate. This time akawaapishe Songea.
 
Umbea hauna posho!
Mleta mada leta hoja ya kulijenga Taifa letu, si umbeya!
 
Ivi uyo dikteta magufuli wenu kwani yeye ndio ana hati miliki ya hii Nchi!?????,

Kiasi kwamba kila kinachotaka kufanywa na Samia eti afuate ya Magufuli,nyie ni wapuuzi nini, mbona hamsemi afuate ya nyerere au mkapa,
Magufuli kaivuruga Nchi, acha mama aweke mambo sawa,
Uyo dikteta Kama mnampenda nendeni mkaombe lile kaburi lifunuliwe muingizwe mne mkale nae Burger
 
Dar es Dalaam ni Dar es Salaam Dodoma marehemu. We mgogo vipi kama msukuma bana
 
Si bora huyu anarudi Dar? Kuna jamaa aliamua makao makuu ya nchi yawe nyumbani kwake huko mpakani na Rwanda!
 
Aende tu Dodoma ili watupunguzie kero za ving'ora na foleni..
 
Hata Zenji Sawa tu mbona Chato watu walikuwa wanaapishwa huko
Angehamishia zenji hapo ungekua na haki ya kulalamika ila dar ni sawa kabisa na ndipo penye pilika pilika nyingi na amepazoea
 
By statue's Dodoma ndio makao yetu makuu,lakini ile hadhi ya Ikulu ya nchi pamoja na security codes mpaka zikamilike itachukuwa mda mrefu sana,Mara nyingi ikulu ni lazima iwe vitu vingi sana zaidi ya mambo 10 na zaidi ili secured well moja wapo ni kambi za jeshi zinazoizunguka na kadha na kadha.....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…