Mbona Rais Samia anaturudisha Dar es Salaam wakati Makao Makuu ni Dodoma?

Sawa ila Zenji ina utawala wake,ngumu sana kwa Rais wa Tanzania kuweka makao kule ataingilia visivyohusika. Ni sawa na nyumbani kwako aje baba mkwe wako tena ana sauti kukuzidi utajisikiaje kuamriwa kila kitu ndani ya home sweet home yako
Yeye ni Rais wa Jamuhuri ya muungano inayoundwa na nchi mbili.
 
Kwani mwendazake alimuaga John Kijazi wapi?
 
Wewe ungekaa Dodoma?

Mama ni mzenji kazoea bahari na samaki maji jumvi unampeleka wa wagogo hata Kiswahili hawajui.

Kama vipi Mpango akae Dodoma mama akae Dar ili kupunguza gharama wakitaka kwenda likizo isiwe tabu wa Kigoma anaruka akitokea Dodoma wa Zanzibar anaruka akitokea Dar.


Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kakurudisha wewe na nani, rais anaweza kufanyia kazi sehemu yoyote ya nchi ndo maana kila mkoa na wilaya kuna ikulu ndogo...
Ona kigeugeu. Mlikua mnahangaika kama kuku anayetaka kutaga kwa nini jpm anapokea wageni chato 😅😅
 
😂😂😂😂😂
 
Kama ameamua kurudisha makao makuu ya nchi kuwa Dsm aseme wazi tu, SSH ana ka unafiki fulani, anafanya maamuzi ili ku please watu tu, ni kheri aseme wazi waache kujenga Dodoma kuliko huo unafiki anaotaka kujaribu kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…