Sawa, lakini tayari serikali imeshahama sasa. Haileti mantiki kurudi maana kufanya hivyo hakupunguzi gharama bali kuziongeza zaidi. Wizara zote ziko Dodoma. Na inaeleweka hivyo. Shida inakuwa wapi?
Kwani ilipotungwa sheria kuwa makao makuu ya nchi yatakuwa Dodoma kulikuwa na makosa katika hilo?
Gharama zipo na zitaendelea kuwepo lakini haina maana kuwa sasa viongozi wa juu waanze kurudi kufanya matukio ya kitaifa Dar es Salaam. Kama maamuzi ya kuijenga Dodoma yalipitishwa basi utekelezaji wake uendelee. Serikali ilianza kuhamishiwa Dodoma kuanzia Rais wa tatu, wa nne na wa tano (aliyefanya kazi kubwa zaidi). Sasa “kazi iendelee” iwe na uhalisia maeneo yote muhimu yenye maslahi kitaifa.
JK aliwashtua watu wakati alipoonesha wapwani hawakupendelea mji mkuu kuhamia Dodoma. Awamu yake ya urais suala la kuhamia Dodoma halikuwekwa kabisa kwenye ajenda.
Sasa tuna Rais mwanamama mpwani. Tangu ameshika Urais inaonekana kama tumerudi Dar kwani kila kitu yuko hapa Dar.
Amehutubia wazee wa Dar juzi, amepokea hati za mabalozi Dar, Jumatano anaapisha wakuu wa mikoa Dar. Mwendazake shughuli Dodoma zilifanyika ikibidi kwenye mahema. Sasa hii trend ya kurudi Dar mbona inapata kasi sasa wakati hadi sheria ishasema Dodoma ndio mji mkuu?.
Tunamuomba Rais Samia awe na moyo na ujasiri kusimamia sera na utendaji kama Hayati Magufuli.
Wananchi walimpigia kura Magufuli kwa wingi watafarijika sana kuona misimamo yake inaendelezwa.
Dodoma hapajakamilika sana,hata Magu na Bashiru walitambikia sana mizimu ya kisukuma pale makelele kibao usku.JK aliwashtua watu wakati alipoonesha wapwani hawakupendelea mji mkuu kuhamia Dodoma. Awamu yake ya urais suala la kuhamia Dodoma halikuwekwa kabisa kwenye ajenda.
Sasa tuna Rais mwanamama mpwani. Tangu ameshika Urais inaonekana kama tumerudi Dar kwani kila kitu yuko hapa Dar.
Amehutubia wazee wa Dar juzi, amepokea hati za mabalozi Dar, Jumatano anaapisha wakuu wa mikoa Dar. Mwendazake shughuli Dodoma zilifanyika ikibidi kwenye mahema. Sasa hii trend ya kurudi Dar mbona inapata kasi sasa wakati hadi sheria ishasema Dodoma ndio mji mkuu?.
Tunamuomba Rais Samia awe na moyo na ujasiri kusimamia sera na utendaji kama Hayati Magufuli.
Wananchi walimpigia kura Magufuli kwa wingi watafarijika sana kuona misimamo yake inaendelezwa.
Kwani unayelialia umewekeza nini,huko hata unakuwa na hofu serikali inarudi Dar.Juzi nimeenda utumishi wanaita mji wa kiserikali.
Hakika wananchi ttafarijika kuona jitihada za kuhamia Dodoma zinaendelea na ikiwezekana kumalizika kwa Rais kuishi ikulu ya Dodoma.
Suala la kuhamia Dodoma limelazimishwa na yule mlazimishaji na halina tija kwa taifa manake linakula bajeti ya chakula cha watoto, hivyo naona ni sawa kwa mama kuweka mkazo kwenye mahitaji ya msingi badala ya kukopa ili kuhamia Dodoma kama alivyofanya Magufuli.JK aliwashtua watu wakati alipoonesha wapwani hawakupendelea mji mkuu kuhamia Dodoma. Awamu yake ya urais suala la kuhamia Dodoma halikuwekwa kabisa kwenye ajenda.
Sasa tuna Rais mwanamama mpwani. Tangu ameshika Urais inaonekana kama tumerudi Dar kwani kila kitu yuko hapa Dar.
Amehutubia wazee wa Dar juzi, amepokea hati za mabalozi Dar, Jumatano anaapisha wakuu wa mikoa Dar. Mwendazake shughuli Dodoma zilifanyika ikibidi kwenye mahema. Sasa hii trend ya kurudi Dar mbona inapata kasi sasa wakati hadi sheria ishasema Dodoma ndio mji mkuu?.
Tunamuomba Rais Samia awe na moyo na ujasiri kusimamia sera na utendaji kama Hayati Magufuli.
Wananchi walimpigia kura Magufuli kwa wingi watafarijika sana kuona misimamo yake inaendelezwa.
Misimamo yake akaifanyie huko alipo hapa Rais ni Samia na ana taratibu zake za kuongoza tumuache na tuheshimu hilo 10 21JK aliwashtua watu wakati alipoonesha wapwani hawakupendelea mji mkuu kuhamia Dodoma. Awamu yake ya urais suala la kuhamia Dodoma halikuwekwa kabisa kwenye ajenda.
Sasa tuna Rais mwanamama mpwani. Tangu ameshika Urais inaonekana kama tumerudi Dar kwani kila kitu yuko hapa Dar.
Amehutubia wazee wa Dar juzi, amepokea hati za mabalozi Dar, Jumatano anaapisha wakuu wa mikoa Dar. Mwendazake shughuli Dodoma zilifanyika ikibidi kwenye mahema. Sasa hii trend ya kurudi Dar mbona inapata kasi sasa wakati hadi sheria ishasema Dodoma ndio mji mkuu?.
Tunamuomba Rais Samia awe na moyo na ujasiri kusimamia sera na utendaji kama Hayati Magufuli.
Wananchi walimpigia kura Magufuli kwa wingi watafarijika sana kuona misimamo yake inaendelezwa.
Wampe nafasi ya kutosha haswaa na upepo juu..Mkome kumsonga songa Mama Samia
Ili litimie andiko kwamba,Kwa nini mabilioni ya pesa yapotezwe na jiwe kule Dodoma wakati Dar ni nchi ile ile?
Na Rais wa EthiopiaMbona makao makuu ni Dodoma ila Balozi wa China, Museveni na Rais wa Malawi waliwahi kutua Chato?
Kiongozi wa nyumbu huyu hapaUtajibiwa wewe ni sukuma gang[emoji1787][emoji1787]Wakati hata huko usukumani hujawahi pasikia,Nyumbu na team Mafisadi wameungana kurudi kuila nchi Kwa Uma na mrija
Wananchi gani?🙄Wananchi walimpigia kura Magufuli kwa wingi
Dar ni karibu na Zanzibar.JK aliwashtua watu wakati alipoonesha wapwani hawakupendelea mji mkuu kuhamia Dodoma. Awamu yake ya urais suala la kuhamia Dodoma halikuwekwa kabisa kwenye ajenda.