Kwahiyo Wizara itoe tuzo kwa mwanahabari mtu anayefanya mambo kinyume na standards za jamii?..This is Bongo but hilo haliwezekani.Kupewa tuzo sio qualification kuwa mtu ni bora kama inakwenda kinyume na standards za jamii. Kumbuka hata wacheza filamu za ngono hupewa tuzo, je inamaanisha wao nao hawana shida katika jamii?!
Mimi nazungumzia maudhui wanayokuwa wanayajadili katika vipindi vyao muda mwingi. Kupewa tuzo kwasababu ya habari za kijamii mbona kama ni minor issue.
Hakuna cha am out, rudi hapa tumalizane kwanza.Kwahiyo Wizara itoe tuzo kwa mwanahabari mtu anayefanya mambo kinyume na standards za jamii?..This is Bongo but hilo haliwezekani.
Geah Habib sio Mbovu kama ulivyomsema hapa.
I'm out.
Ndioomaana zinajazanaUkiona hivyo ujue radio hazina pesa za kutosha kujiendesha zenyewe na masponser hakuna
Na vipindi vyao vimekosa maana/maudhui yaani kila dakika wanapigia chapuo kamali zao, kuna hao rfa hadi watangazaji wanataka kulia kisa pakua mkwanja. **** chota mihela, na hawa voda na makamali yao meeeeeeeeeeeeeengi,, sina nia ya kuharibu biashara za watu lakin hiz kamali hazina maana kwa nchi yetu. Serikali hili nalo mkalitazameKila ukifungulia Redio karibia kila stesheni ni kamari tu, kucheze kubahatisha na mapesa kutolewa, watu wanapokea mamilioni, matv, na mambo kede kede kwa kuchangiana kucheza kamari buku buku kwenye maredio.
Hapo bado kamari za kwenye mitandao ya simu, na kwenye mipira, wazee wa mikeka, na wazee wa makasino, kwezi Tanzania pesa ipo. Mfano kuna redio kila baada ya nusu saa, au lisaa yanatoka mamilioni, sasa unashangaa wanaojichangisha huko hewani mpaka mshindi achukue laki 5 mpaka 10M ni wangapi?
Kuna mmoja akanishangaza kuwa ana line tatu, zote alikua anazichezea kuona ipi itashinda au ipi yenye bahati, kweli tuna pesa.
Kuna mwana JF yoyote aliewahi kushinda kweye hizi za redio za kila baada ya nusu saa atupe mrejesho?
Mwaka flani nilifanya kazi kama customer care agent kampuni flani ya simu, kulikua na kamari flani ya kushindania magari, nadhani lilifanyika miezi kadhaa.
Siku niko kwenye majukumu yangu ya kupokea simu akapiga mteja analalamika kacheza miezi yote hashindi, kuchek kweli kacheza inakaribia 3M, nikamshauri akomae siku yake inakuja, ila nilimuhurumia.
Sasa hivi ni kwenye maredio imeshika kasi, ni mipesa tu inatolewa, alafu tunalalamika tozo.
Ngoja tuendelee kukamuliwa mpaka maji tuite mma.
Kufikia 2018 nilikuwa nimetumia tsh13, 700, 000 kwa ajili ya betting na pesa niliyokula ni 6,573,000 na kuanzia 2019 hadi 2022 nimetumia 370,000 na nimekula 4000.kimsingi kamali ni umasikinWa
Ngoja wapigwe