Mbona timu za Zanzibar hazipigwi goli nyingi na Yanga kama za huku bara?

Matteo Vargas

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2019
Posts
1,054
Reaction score
1,617
Najiuliza hili swali nikijua ligi ya Bara ni bora kuliko ya Zanzibar na pia kwa viwango ipo kwenye ligi 5 bora Afrika.

Sasa kama hizi timu zilizopo kwenye ligi bora zinapigwa goli nyingi kila kukicha na Yanga, mbona kwa hizi timu za Zanzibar ambayo ligi yake inaonekana dhaifu hazipigwi goli nyingi??
 
Yanga iliyopo zanzibar ndo hiyo hiyo inayochezaga ligi kuu bara?
 
Huku Zanzibar hayupo kolo. Angekuwepo kolo wizard ungeona mikono inavyotembea kama anavyotembezewa yeye
 
Najiuliza hili swali nikijua ligi ya Bara ni bora kuliko ya Zanzibar na pia kwa viwango ipo kwenye ligi 5 bora Afrika.

Sasa kama hizi timu zilizopo kwenye ligi bora zinapigwa goli nyingi kila kukicha na Yanga, mbona kwa hizi timu za Zanzibar ambayo ligi yake inaonekana dhaifu hazipigwi goli nyingi??
Yepi maaazo yako?
 
Mambo mengine hayahitaji uwe na akili nyingi. Hayo mashindano Yanga ameyatumia kuwapa nafasi baadhi ya wachezaji wake ambao hawapati muda mwingi wa kucheza kwenye michezo ya ligi kuu. Kwa hali hiyo na combination ya timu haiwezi kuwa sawa na ile inayocheza mechi nyingi.

Na kama huamini, subiri watoke kwenye hilo bonanza.
 
Najiuliza hili swali nikijua ligi ya Bara ni bora kuliko ya Zanzibar na pia kwa viwango ipo kwenye ligi 5 bora Afrika.

Sasa kama hizi timu zilizopo kwenye ligi bora zinapigwa goli nyingi kila kukicha na Yanga, mbona kwa hizi timu za Zanzibar ambayo ligi yake inaonekana dhaifu hazipigwi goli nyingi??
Hili swali tuwaulize Simba wanakubali vipi kupigwa goli nyingi na Yanga?
 
Mambo mengine hayahitaji uwe na akili nyingi. Hayo mashindano Yanga ameyatumia kuwapa nafasi baadhi ya wachezaji wake. Kwa hali hiyo na combination ya timu haiwezi kuwa sawa na ile inayocheza mechi nyingi.

Na kama huamini, subiri watoke kwenye hilo bonanza.
Huyu tutusa hajui kama kina Farid Musa na Denis Nkane wamepewa nafasi ya kuonesha uwezo wao kwenye mashindano haya.
 
Najiuliza hili swali nikijua ligi ya Bara ni bora kuliko ya Zanzibar na pia kwa viwango ipo kwenye ligi 5 bora Afrika.

Sasa kama hizi timu zilizopo kwenye ligi bora zinapigwa goli nyingi kila kukicha na Yanga, mbona kwa hizi timu za Zanzibar ambayo ligi yake inaonekana dhaifu hazipigwi goli nyingi??
Hizo hazidhaminiwi na GSM
 
Fainali hizo. Ndugu yangu, na wanajaza sana, kwanini ujiulizu Azam na Singida wako wapi? Huko kila mtu anakaza akiraka kuja kuwa Faitoto au Barca ajaye
maana mashindano kama haya ndio yaliwaibua hao..
 
Tumechezesha kikosi Cha pili kutest mitambo ikianza full squad ya yanga ni noma sana
 
Umeshawahi kumuona Pacome Aucho huko Zenji? 😀 huko wanaenda watoto kina Nkane Farid Andambwile hao Kina Aziz ki ma Mzize wanaenda kama backup tu 😀
 
Wangekula 5 mngelalamika vila vile achen unafiki
 
Back
Top Bottom