magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 14,029
- 34,441
Ukiandika hivi inabidi umalizie kwa kumtag Aden Rage.Yanga iliyopo zanzibar ndo hiyo hiyo inayochezaga ligi kuu bara?
Ukiandika hivi inabidi umalizie kwa kumtag Aden Rage.Yanga iliyopo zanzibar ndo hiyo hiyo inayochezaga ligi kuu bara?
Kwa hiyo Yanga wanachukulia poa hayo mashindano1. Kwanza zimefungwa
2. Timu tatu za bara zimefungwa na timu za Zanzibar
3. Sababu kubwa ni vikosi vilivyosafiri na vinavyo chezeshwa. Timu za bara zinaenda kule kupumzika siyo kushindana. Wachezaji tegemezi hawachezi na hawasafiri na timu
4. Wachezaji kudharau timu za zenji, hivyo kutoweka mkazo. Angalia Ki anavyocheza bara na alivyokuwa akicheza huko. Kuna tifauti kubwa