Matteo Vargas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2019
- 1,054
- 1,617
Najiuliza hili swali nikijua ligi ya Bara ni bora kuliko ya Zanzibar na pia kwa viwango ipo kwenye ligi 5 bora Afrika.
Sasa kama hizi timu zilizopo kwenye ligi bora zinapigwa goli nyingi kila kukicha na Yanga, mbona kwa hizi timu za Zanzibar ambayo ligi yake inaonekana dhaifu hazipigwi goli nyingi??
Yanga iliyopo zanzibar ndo hiyo hiyo inayochezaga ligi kuu bara?Najiuliza hili swali nikijua ligi ya Bara ni bora kuliko ya Zanzibar na pia kwa viwango ipo kwenye ligi 5 bora Afrika.
Sasa kama hizi timu zilizopo kwenye ligi bora zinapigwa goli nyingi kila kukicha na Yanga, mbona kwa hizi timu za Zanzibar ambayo ligi yake inaonekana dhaifu hazipigwi goli nyingi??
Yepi maaazo yako?Najiuliza hili swali nikijua ligi ya Bara ni bora kuliko ya Zanzibar na pia kwa viwango ipo kwenye ligi 5 bora Afrika.
Sasa kama hizi timu zilizopo kwenye ligi bora zinapigwa goli nyingi kila kukicha na Yanga, mbona kwa hizi timu za Zanzibar ambayo ligi yake inaonekana dhaifu hazipigwi goli nyingi??
Mambo mengine hayahitaji uwe na akili nyingi. Hayo mashindano Yanga ameyatumia kuwapa nafasi baadhi ya wachezaji wake ambao hawapati muda mwingi wa kucheza kwenye michezo ya ligi kuu. Kwa hali hiyo na combination ya timu haiwezi kuwa sawa na ile inayocheza mechi nyingi.Najiuliza hili swali nikijua ligi ya Bara ni bora kuliko ya Zanzibar na pia kwa viwango ipo kwenye ligi 5 bora Afrika.
Sasa kama hizi timu zilizopo kwenye ligi bora zinapigwa goli nyingi kila kukicha na Yanga, mbona kwa hizi timu za Zanzibar ambayo ligi yake inaonekana dhaifu hazipigwi goli nyingi??
Hili swali tuwaulize Simba wanakubali vipi kupigwa goli nyingi na Yanga?Najiuliza hili swali nikijua ligi ya Bara ni bora kuliko ya Zanzibar na pia kwa viwango ipo kwenye ligi 5 bora Afrika.
Sasa kama hizi timu zilizopo kwenye ligi bora zinapigwa goli nyingi kila kukicha na Yanga, mbona kwa hizi timu za Zanzibar ambayo ligi yake inaonekana dhaifu hazipigwi goli nyingi??
Huyu tutusa hajui kama kina Farid Musa na Denis Nkane wamepewa nafasi ya kuonesha uwezo wao kwenye mashindano haya.Mambo mengine hayahitaji uwe na akili nyingi. Hayo mashindano Yanga ameyatumia kuwapa nafasi baadhi ya wachezaji wake. Kwa hali hiyo na combination ya timu haiwezi kuwa sawa na ile inayocheza mechi nyingi.
Na kama huamini, subiri watoke kwenye hilo bonanza.
Hizo hazidhaminiwi na GSMNajiuliza hili swali nikijua ligi ya Bara ni bora kuliko ya Zanzibar na pia kwa viwango ipo kwenye ligi 5 bora Afrika.
Sasa kama hizi timu zilizopo kwenye ligi bora zinapigwa goli nyingi kila kukicha na Yanga, mbona kwa hizi timu za Zanzibar ambayo ligi yake inaonekana dhaifu hazipigwi goli nyingi??
Fainali hizo. Ndugu yangu, na wanajaza sana, kwanini ujiulizu Azam na Singida wako wapi? Huko kila mtu anakaza akiraka kuja kuwa Faitoto au Barca ajayeNajiuliza hili swali nikijua ligi ya Bara ni bora kuliko ya Zanzibar na pia kwa viwango ipo kwenye ligi 5 bora Afrika.