Mbona timu za Zanzibar hazipigwi goli nyingi na Yanga kama za huku bara?

Leo nimeamin mashabiki wa cmba ni wanafiki tungeshnda 5 wangesema bahasha tunashnda 1 bado wanalalamika
 
Time za uchawi mwingi
Kuna timu ina uchawi kama nyuma mwiko hii nchi?
Timu iliyoanzishwa na umoja wa wachawi na waganga wa kienyeji kisha kusajili wanasiasa leo inawezaje kusingizia timu nyingine ni wachawi?
 


Zanzibar ni Ugenini kama Misri ,Tunisia,Morocco Sudani , Lybya na Algeria .
Ukitaka wapigwe 10 waje nyumbani Tanganyika .
 
Kama umeangalia na ratiba ilivyokuwa ungejua lazima team icheze kwa malengo
Kutafuta goli unatumia nguvu kubwa sana ambayo unaweza kuathiri afya ya wachezaji
Utakumbuka team ilikuwa ikichukua mapinduzi lazima ipoteze trend kwenye ligi kuu maana nguvu inatumika kubwa
 
Ukweli walisahau sindano
 
bahasha kaka hata simba ile mechi ya tano walichukua bahasha..
 
Wale wajinga wanalishana yamini kuwa hakuna kuchukua kitu. Ukachezwe mpira
 
1. Kwanza zimefungwa
2. Timu tatu za bara zimefungwa na timu za Zanzibar
3. Sababu kubwa ni vikosi vilivyosafiri na vinavyo chezeshwa. Timu za bara zinaenda kule kupumzika siyo kushindana. Wachezaji tegemezi hawachezi na hawasafiri na timu
4. Wachezaji kudharau timu za zenji, hivyo kutoweka mkazo. Angalia Ki anavyocheza bara na alivyokuwa akicheza huko. Kuna tifauti kubwa
 
Yale ni Mashindano kama bonanza,unacheza kimkakati usiumize wachezaji na uchukue ubingwa ambao hata ukikosa sio mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…