GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #81
Hahahaaaa,,,,,,,nimekuja waniita
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wewe sio mzima.Mkuyenge umembadilisha Mtu ' totally '.
Kabisa.. nataka abakie laini laini kama hivi alivyo... Sio wamkomaze mpaka tukipishana kidogo aanze kunipa hotuba kama anawasilisha "bajeti ya wizara ya nishati naadini"mwanamke awe laini laini ahahaha. loh! me nataka kuwasikia mkiwa kibibi na kibabu
...wewe utakuwa unawaongelea wale mandezi ambao kila mtu akicomment lazima am-cc mwenzie!
ha hahaha safiKabisa.. nataka abakie laini laini kama hivi alivyo... Sio wamkomaze mpaka tukipishana kidogo aanze kunipa hotuba kama anawasilisha "bajeti ya wizara ya nishati naadini"
Hahahaaaaaa ndicho ulichokuwa unakitaka kaka,au?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
ha hahaha hapana wamuite baby chagga kaka
Ulitaka uone nini mkuu? Hahaha
Sawa kakaAtakuwa dhulumati na mpigaji sana wa Hela Dada. Acha tu wamwite Baby Gentamycine ili angalau awe ' Genius ' sana lakini mwenye ' uwehu ' kiduuuchu kama mwenyewe vile!
Hahahaaaaaa Wallah umetuweza leo [emoji119]
....mapimbi tu yale!...Hahaaaaa hivi wale jamaa kuna mtu anawakubali humu ndani?? Naona kila sehemu huwa wanapewa za uso tu na ma cc yao......
Mapenzi ya form two...
Dah, mkuu cheupe hana mdogo ake kweli jaman, na mie nipatiemo.Nakuelewa sana mkuu Mgibeon,
Kuna mambo mengine ni vigumu kuyafafanua lakini yanapaswa kuwa hivyo..
Ni kweli Cheupe anapenda Siasa na anaijua vyema sana lakini kwa maslahi mapana zaidi inabidi ile spidi yake ya zamani ipungue!!
Haikuwa kazi nyepesi kumuondoa siasani lakini uzuri ni mwanamke smart na mtiifu... Akaelewa na hatimaye amejiweka kando na mijadala ya kisiasa...
Natamani aendelee na harakati siasani lakini sijui nisemeje... Ndio hivyo mkuu!
Dah, mkuu cheupe hana mdogo ake kweli jaman, na mie nipatiemo.
May be mdogo ake atakua na character kama za dada mtu au kamzidi kidogo eeh
Hahahaaaaaa unareta ujanja ujanja eeeeh?Basi tu nahisi kama nguo zimewakaa fresh na bro the bold. [emoji3][emoji3][emoji3]
Alipo mjukuu babu hachezi mbali...shkamoo babu kipenzi [emoji136]
Sawa kaka...tukutane kesho kwenye mechi za mwisho mzunguko wa ligi kuu Tzee [emoji41]Acheni kupotea humu sawa? Mfikishie huu ujumbe ' patner ' wako wa Kibaiolojia tafadhali.