Mbona uchangamfu wa hawa Members Wapenzi humu JF kila siku unapungua? Tatizo ni nini labda?

Tutaonana Saa 5 Kamili usiku wa leo tafadhalini kwani sasa naenda Kuwajibika. Nawatakieni jamvi jema na uchangiaji mwema. See you Guys.
 
Kumbe Nifah unatubastola twa nguvu
 
Sasa kama wameshafika bei kwa vitisho vya baria uchwara za polisi, mwendo ikawa ni kumerge thread, pia wakajivumbulia kateknolojia ka kufilter thread isiweonekane na wengi hasa kama inakosoa serikali (yaan hawafuti kithread chako, ila hupewi shavu, yaani ni Clouds & Bashite Style)...ww unategemea nitachangamka?? labda waanze program ya kutugawia juice ili tuchangie kwa wingi.
 
Inasikitisha sana...

Kwa waliyopatwa na hayo maswahiba...

Smart911 na mahondaw wake wapo imara na hakuna kinachowatetelesha...


Love mahondaw wangu sana with all my strength...


Cc: mahondaw
 
Nakuona nakuona Toto la kichaga, mmetisha
 
Hahahahahaaa Braza limekufika haaaaapa. (In soudy brown voice). Naona jeshi umetekwa na toto white
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…