Mbona ulaya hawalalamikii hizi Pitch feeling

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Sijawahi kuona timu za ulaya kulalamika eti kufanya pitch feeling au mazoezi siku 1 kabla ya mchezo

Yaani eti labda weekend hii ni mech ya Man u na Arsenal, Arsenal afike pale Old Trafford kufanya mazoezi

Au labda Babda Barca vs Madrid
Madrid aende Sportfy Stadium kufanya pitch feeling

Hii ni kanuni ndogo
Sasa Kwa mfano man u ana ugeni gani Uingereza hadi ahangaike kufanya pitch feeling

Simba wameogopa mechi ila eti Kwa sababu hawakufanya mazoezi hiyo siyo kweli

Simba hana ugeni pitch ya Benjamin Mkapa
 
Simba wanafanya mambo ya kitoto na ambayo hayavumiliki hata kidogo. Yaani uwanja wa Mkapa wanacheza kila siku, halafu wagomee mechi kwa sababu ya kipuuzi kama hii kweli!!!
Unaweza kuiona ya 'Kipuuzi'. Una haki hiyo.

Mechi iliyopita hiyo sababu ya 'kipuuzi', mliitaka na Simba ikaruhusu.

Kwanini upande wenu unakataa kwa kufikiri ni "Upuuzi'?
 
Wanasimamia kanuni.
Kama mnataka iwe hivyo basi kanuni ibadilishwe.
 
Sijawahi kuona timu za ulaya kulalamika eti kufanya pitch feeling au mazoezi siku 1 kabla ya mchezo

Yaani eti labda weekend hii ni mech ya Man u na Arsenal, Arsenal afike pale Old Trafford kufanya mazoezi

Au labda Babda Barca vs Madrid
Madrid aende Sportfy Stadium kufanya pitch feeling

Hii ni kanuni ndogo
Sasa Kwa mfano man u ana ugeni gani Uingereza hadi ahangaike kufanya pitch feeling

Simba wameogopa mechi ila eti Kwa sababu hawakufanya mazoezi hiyo siyo kweli

Simba hana ugeni pitch ya Benjamin Mkapa
Thibitisha kama walifanya mazoezi. Hilo ni takwa la kikanuni, ina maana waliyoiweka hawakujua faida yake sio?

Last match, Yanga walifanya pitch visiting. Na hakukuwa na bugdha na unaweza hata wewe ulikuwa hujui kwasababu Simba haikutaka kutengeneza 'Tension' hiyo.

Kwanini sasa?
 
Itakuwa ulaya ya buza.
 
Kabisa mkuu kama ingekuwa kufanya mazoezi katika uwanja siku moja kabla ni kwa ajili ya kuujua uwanja basi hiyo kanuni isingekuwepo kwa sababu timu nyingi zimeshacheza katika viwanja takribani vyote zinazotumika kwa ligi kuu hapa nchini.
 
Jamaa wana'Uhuni' wa kizamani.

Lazima ifikie mahali viongozi wa serikali wasipewe nafasi za Uongozi katika hizi timu zetu.

Matatizo makuu huwa yanaanzia kwao kwasababu kuna 'Backup'
 
Ni ushenzi mkubwa.
 
Kanuni za ligi ni tofauti alafu ulaya ni ulaya tu usifananishe na africa
 
Sijawahi kuona timu za ulaya kulalamika eti kufanya pitch feeling au mazoezi siku 1 kabla ya mchezo

Yaani eti labda weekend hii ni mech ya Man u na Arsenal, Arsenal afike pale Old Trafford kufanya mazoezi

Au labda Babda Barca vs Madrid
Madrid aende Sportfy Stadium kufanya pitch feeling

Hii ni kanuni ndogo
Sasa Kwa mfano man u ana ugeni gani Uingereza hadi ahangaike kufanya pitch feeling

Simba wameogopa mechi ila eti Kwa sababu hawakufanya mazoezi hiyo siyo kweli

Simba hana ugeni pitch ya Benjamin Mkapa
Miaka yote ya mechi za watani,mwenyeji anakabidhiwa uwanja,mgeni anaingia uwanjani siku ya mechi akitokea mahali alipoweka kambi sababu ni culture waliyo jiwekea wenyewe watani.Ndio maana hata meneja hakuwa na taarifa za wao kuja uwanjani. Hata Yanga hii nafasi ya kutumia huu uwanja kabla ya mechi round ya kwanza hakupewa, je hizo kanuni hazikuwepo, maana aliingia uwanjani akitokea Avic Town na mechi alicheza.
 
Back
Top Bottom