Sijawahi kuona timu za ulaya kulalamika eti kufanya pitch feeling au mazoezi siku 1 kabla ya mchezo
Yaani eti labda weekend hii ni mech ya Man u na Arsenal, Arsenal afike pale Old Trafford kufanya mazoezi
Au labda Babda Barca vs Madrid
Madrid aende Sportfy Stadium kufanya pitch feeling
Hii ni kanuni ndogo
Sasa Kwa mfano man u ana ugeni gani Uingereza hadi ahangaike kufanya pitch feeling
Simba wameogopa mechi ila eti Kwa sababu hawakufanya mazoezi hiyo siyo kweli
Simba hana ugeni pitch ya Benjamin Mkapa