Unaweza kuiona ya 'Kipuuzi'. Una haki hiyo.Simba wanafanya mambo ya kitoto na ambayo hayavumiliki hata kidogo. Yaani uwanja wa Mkapa wanacheza kila siku, halafu wagomee mechi kwa sababu ya kipuuzi kama hii kweli!!!
Thibitisha kama walifanya mazoezi. Hilo ni takwa la kikanuni, ina maana waliyoiweka hawakujua faida yake sio?Sijawahi kuona timu za ulaya kulalamika eti kufanya pitch feeling au mazoezi siku 1 kabla ya mchezo
Yaani eti labda weekend hii ni mech ya Man u na Arsenal, Arsenal afike pale Old Trafford kufanya mazoezi
Au labda Babda Barca vs Madrid
Madrid aende Sportfy Stadium kufanya pitch feeling
Hii ni kanuni ndogo
Sasa Kwa mfano man u ana ugeni gani Uingereza hadi ahangaike kufanya pitch feeling
Simba wameogopa mechi ila eti Kwa sababu hawakufanya mazoezi hiyo siyo kweli
Simba hana ugeni pitch ya Benjamin Mkapa
Itakuwa ulaya ya buza.Sijawahi kuona timu za ulaya kulalamika eti kufanya pitch feeling au mazoezi siku 1 kabla ya mchezo
Yaani eti labda weekend hii ni mech ya Man u na Arsenal, Arsenal afike pale Old Trafford kufanya mazoezi
Au labda Babda Barca vs Madrid
Madrid aende Sportfy Stadium kufanya pitch feeling
Hii ni kanuni ndogo
Sasa Kwa mfano man u ana ugeni gani Uingereza hadi ahangaike kufanya pitch feeling
Simba wameogopa mechi ila eti Kwa sababu hawakufanya mazoezi hiyo siyo kweli
Simba hana ugeni pitch ya Benjamin Mkapa
ulaya ubwelaItakuwa ulaya ya buza.
Kabisa mkuu kama ingekuwa kufanya mazoezi katika uwanja siku moja kabla ni kwa ajili ya kuujua uwanja basi hiyo kanuni isingekuwepo kwa sababu timu nyingi zimeshacheza katika viwanja takribani vyote zinazotumika kwa ligi kuu hapa nchini.Thibitisha kama walifanya mazoezi. Hilo ni takwa la kikanuni, ina maana waliyoiweka hawakujua faida yake sio?
Last match, Yanga walifanya pitch visiting. Na hakukuwa na bugdha na unaweza hata wewe ulikuwa hujui kwasababu Simba haikutaka kutengeneza 'Tension' hiyo.
Kwanini sasa?
Jamaa wana'Uhuni' wa kizamani.Kabisa mkuu kama ingekuwa kufanya mazoezi katika uwanja siku moja kabla ni kwa ajili ya kuujua uwanja basi hiyo kanuni isingekuwepo kwa sababu timu nyingi zimeshacheza katika viwanja takribani vyote zinazotumika kwa ligi kuu hapa nchini.
Ni ushenzi mkubwa.Jamaa wana'Uhuni' wa kizamani.
Lazima ifikie mahali viongozi wa serikali wasipewe nafasi za Uongozi katika hizi timu zetu.
Matatizo makuu huwa yanaanzia kwao kwasababu kuna 'Backup'
Hivi kwa maendeleo haya ya teknolojia, unahitaji kufika eneo husika kujua jambo fulani?Ulaya umeenda lini mpaka utupe habari za ulaya
Ulaya umeenda lini mpaka utupe habari za ulaya ?Hivi kwa maendeleo haya ya teknolojia, unahitaji kufika eneo husika kujua jambo fulani?
Miaka yote ya mechi za watani,mwenyeji anakabidhiwa uwanja,mgeni anaingia uwanjani siku ya mechi akitokea mahali alipoweka kambi sababu ni culture waliyo jiwekea wenyewe watani.Ndio maana hata meneja hakuwa na taarifa za wao kuja uwanjani. Hata Yanga hii nafasi ya kutumia huu uwanja kabla ya mechi round ya kwanza hakupewa, je hizo kanuni hazikuwepo, maana aliingia uwanjani akitokea Avic Town na mechi alicheza.Sijawahi kuona timu za ulaya kulalamika eti kufanya pitch feeling au mazoezi siku 1 kabla ya mchezo
Yaani eti labda weekend hii ni mech ya Man u na Arsenal, Arsenal afike pale Old Trafford kufanya mazoezi
Au labda Babda Barca vs Madrid
Madrid aende Sportfy Stadium kufanya pitch feeling
Hii ni kanuni ndogo
Sasa Kwa mfano man u ana ugeni gani Uingereza hadi ahangaike kufanya pitch feeling
Simba wameogopa mechi ila eti Kwa sababu hawakufanya mazoezi hiyo siyo kweli
Simba hana ugeni pitch ya Benjamin Mkapa
Last match, Yanga walifanya pitch visiting. Na hakukuwa na bugdha na unaweza hata wewe ulikuwa hujui kwasababu Simba haikutaka kutengeneza 'Tension' hiyo.
Kwanini sasa?
Halafu kanuni zinatofautiana Kati ya ligi moja na nyingine.Kanuni za ligi ni tofauti alafu ulaya ni ulaya tu usifananishe na africa