Mbona ulaya hawalalamikii hizi Pitch feeling

Tupe uthibitisho Yanga akifanya pitch visiting kwenye last match
Nikupatie uthibitisho?!
Nikisema huna akili nitakosea?!

Wewe ndio unatakiwa utafute uthibitisho ili uniprove wrong. Pitia page ya Yanga Instagram kabla ya match 1st round utaona.
 
Wewe unathibitisha vipi simba walienda Jana kwenye kufanya mazoezi wakazuiwa
Kwani ni mimi nimesema Simba wamezuiliwa au wao ndio wamesema wamezuiliwa ?
Hata wewe ukiniambia ni mwanaume sitobisha
 
"ila"..."eti" ...zimezidi hadi uzi unaonekana wa hovyohovyo.
 
Simba wanafanya mambo ya kitoto na ambayo hayavumiliki hata kidogo. Yaani uwanja wa Mkapa wanacheza kila siku, halafu leo hii wagomee mechi kwa sababu ya kipuuzi kama hii kweli!!!
Tuna goma ili siku nyingine mjifunze kuheshimu kanuni na sheria za soka utopolo nyinyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…