Mbona wanajikomba kwa Israel

Kwa hiyo mmiliki wa teknolojia ya Intel ni muisrael?🤔
Mmiliki wa teknolojia ya Intel duniani ni Intel. Muisraeli ni developer ama mvumbuzi wa teknolojia ya Intel. Muisraeli anavumbua kisha anamuuzia teknolojia Intel. Ni biashara!

Mwanzoni niliuliza kuwa, unafikiri ni kwanini development center kubwa zaidi ya Intel iko Israeli, unakumbuka?

Jibu lake, ni kwa sababu ya high tech industry iliyopo nchini Israel. Center yao ya teknolojia wanaiita Silicon Wadi. Si Intel tu, hata kampuni zingine kama IBM na Microsoft pia zimewekeza R&D nchini Israel.

 
Mathanzua 2.0
 
Kwa hiyo wewe mtu mweusi [ mwafrika ]umelaaniwa Ila huyo muisrael kabarikiwa huyu Mungu wa namna hii wenye ubaguzi ni Mungu wakipumbavu hajapata kutokea😡
Mungu anayelipenda Taifa moja na kuyakazia mataifa mengine,anafaae aitwe Mungu wa mabox
Nalog off Z
 
Wewe huenda hujui mambo mengi au Ni mental slave.
Baada ya vita ya pili ya dunia nchi kundi za mashoga ie USA and now NATO walilazimisha the so called Israel kwa kukusanya wazungu mashoga kwa kuwapachika uisrael kwa lengo la kuitawala middle East, kwa kutoa michango yote silaha,pesa,tamaduni ili Israel iwe superpower pale, kwa hiyo hakuna akili yoyote zaidi ya mashoga wakubwa kuungana kutengeneza Israel na kuwaaminisha wapumbavu duniani Hilo Ni Taifa teule,
Hata vita ya 6 days war ilikuwa Ni waarabu wa kale wa majambia against USA + New NATO under cover of Israel name,
But time will come and tell.
 
Nchi 14 barani Afrika wamepinga Israel kuwa mwanachama wa AU ikiwemo TZ juzi kati,unahisi hizo nchi zote hawajui hilo jambo ni wewe tu ndie ujue ewe Mtumishi?
Huyo jamaa hata akiambiwa akawatiwe na muisrael spare baraka atakubali, akili yake ilivyo tope
 
Ushoga hauna race ushoga ni ushetani, shetani hana kabila Wala taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…