Mbona wanajikomba kwa Israel

Mbona wanajikomba kwa Israel

Kwa hiyo mmiliki wa teknolojia ya Intel ni muisrael?šŸ¤”
Mmiliki wa teknolojia ya Intel duniani ni Intel. Muisraeli ni developer ama mvumbuzi wa teknolojia ya Intel. Muisraeli anavumbua kisha anamuuzia teknolojia Intel. Ni biashara!

Mwanzoni niliuliza kuwa, unafikiri ni kwanini development center kubwa zaidi ya Intel iko Israeli, unakumbuka?

Jibu lake, ni kwa sababu ya high tech industry iliyopo nchini Israel. Center yao ya teknolojia wanaiita Silicon Wadi. Si Intel tu, hata kampuni zingine kama IBM na Microsoft pia zimewekeza R&D nchini Israel.

 
Mathanzua 2.0
Hakuna hata myahudi mmoja alouliwa na HITLER
Zilikua njama zakutafta sababu zawale UMBWA kupelekwa ME kama zinavyotafutwa sababu zakupelekwa tena mfano wa WAYAHUDI wengine pale RWANDA
Hamjaamka tuuu nahakuna siku EU na US imekua nauadui na ISRAEL
Bila ISRAEL hii DUNIA ingekua kama peponi yaaani !!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muulize Nyerere alitufikisha wapi alipowatimua Waisraeli.
Kwahyo hawa wa Israel mashoga nyerere alivyowatimua nchi yetu mungu akatulaani
images.jpg
 
Kwa hiyo wewe mtu mweusi [ mwafrika ]umelaaniwa Ila huyo muisrael kabarikiwa huyu Mungu wa namna hii wenye ubaguzi ni Mungu wakipumbavu hajapata kutokea😔
Mungu anayelipenda Taifa moja na kuyakazia mataifa mengine,anafaae aitwe Mungu wa mabox
Nalog off Z
 
Mifumo yao ya malezi ndio chanzo.Wanawake wa kiisrael ndio wanawake wanaojua malezi bora kwa watoto,kwa kuwajengea watoto positivity spirit watoto tangu wadogo na hii ndio imewashape hadi ukubwani kuwa vile.Hadi sasa Hakuna muisrael ombaomba hata kama wapo ni asilimia kiduchu sana.Hii ni kutokana na mifumo yao ya malezi na uchumi,wamelelewa kuwa wafanyabiashara ndo watu wanaofunzwa ujasiliamali na uchumi ikiwemo uwekezaji tangu wadogo Sana. Na wao ndio waasisi wa formula zote za kufanikiwa zinatumiwa na wachina, wahindi, hata wachaga, wakinga,wote wameiga mfumo wa kiyahudi wa kufanikiwa katika biashara.
Wao ndio wanaotawala duniani kupitia mifumo yote ya uchumi ikiwemo mabenki, hollywood umiliki wa kampuni kubwa za music na filamu, viwanda,tafiti kubwa za sayansi,ujenzi,nk.
Nadokeza kwa uchache mfumo wao wa malezi kwa watoto.

1.Mungu kwanza
2.Kusaidiana wao kwa wao
3.Kukopeshana bila riba
4.kupeana tenda wao kwa wao
5.ufunzwa elimu ya pesa tangu wadogo na kujengewa nidhamu ya pesa mfano mgawanyo wa pesa ya matumizi, sadaka, akiba, nk.
6.Uaminifu hapa ndipo watu weupe utupiga gap la kufanikiwa.
Hata wachaga na wakinga hapa ndipo utupigia gap weka ndugu yako kwenye biashara yako kwenye biashara yako usikilizie mrejesho.

7.
Wewe huenda hujui mambo mengi au Ni mental slave.
Baada ya vita ya pili ya dunia nchi kundi za mashoga ie USA and now NATO walilazimisha the so called Israel kwa kukusanya wazungu mashoga kwa kuwapachika uisrael kwa lengo la kuitawala middle East, kwa kutoa michango yote silaha,pesa,tamaduni ili Israel iwe superpower pale, kwa hiyo hakuna akili yoyote zaidi ya mashoga wakubwa kuungana kutengeneza Israel na kuwaaminisha wapumbavu duniani Hilo Ni Taifa teule,
Hata vita ya 6 days war ilikuwa Ni waarabu wa kale wa majambia against USA + New NATO under cover of Israel name,
But time will come and tell.
 
Nchi 14 barani Afrika wamepinga Israel kuwa mwanachama wa AU ikiwemo TZ juzi kati,unahisi hizo nchi zote hawajui hilo jambo ni wewe tu ndie ujue ewe Mtumishi?
Huyo jamaa hata akiambiwa akawatiwe na muisrael spare baraka atakubali, akili yake ilivyo tope
 
Wewe huenda hujui mambo mengi au Ni mental slave.
Baada ya vita ya pili ya dunia nchi kundi za mashoga ie USA and now NATO walilazimisha the so called Israel kwa kukusanya wazungu mashoga kwa kuwapachika uisrael kwa lengo la kuitawala middle East, kwa kutoa michango yote silaha,pesa,tamaduni ili Israel iwe superpower pale, kwa hiyo hakuna akili yoyote zaidi ya mashoga wakubwa kuungana kutengeneza Israel na kuwaaminisha wapumbavu duniani Hilo Ni Taifa teule,
Hata vita ya 6 days war ilikuwa Ni waarabu wa kale wa majambia against USA + New NATO under cover of Israel name,
But time will come and tell.
Ushoga hauna race ushoga ni ushetani, shetani hana kabila Wala taifa.
 
Back
Top Bottom