bahati93
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 1,334
- 2,463
Wana dunia,
Hapo zamani nilikuwa nashangaa sana jinsi Amerika anavyojikomba kwa taifa la Israel, lakini kadiri muda unavyopita ndivyo nami nazidi kudhania kuna jambo la siri viongozi wa juu wa Amerika wanajua juu ya taifa hili kongwe. Je kitu gani hichoo?
Kwa ufupi raia wa Amerika kama watu wa Ujerumani wanafamu fika kuwa wana wa Israel ni kama mafuriko huwezi kuwazuia- miaka hiyo ya nyuma pale walipokuwa wakimbizi wakikimbia serikali ya kinazi huko Ulaya taasisi nyingi za Marekani walifanya kuwabagua katika kazi za serikali. Hivyo wana wa Israel wakawa wanafanya uigizaji - HOLLYWOOD ile kufumba na kufumbua macho wakashangaa wamepata ukwasi mwingi sana.
Kitu kingine sio Marekani tu bali pamoja na mataifa makubwa yanayofuatia ya Urusi na Uchina kila kukicha kujikomba komba. Tumeona urusi ilivyopiga breki baada ya kutoa tarifa ya kukashifu taifa teule katika vita yake na ukraine. Pia china sasa pesa zake kila kukicha amatafuta campuni za kiisrael awekeze.
Ingawa ata ukisoma agano la kale waweza pata ukakasi kwamba mbona kama wana ubaguzi mbona wanapendelewa, labda kutokana na ufupi wa akili zetu twashindwa kuona mpango wa aliye juu.
Ni hayo tu mazeee