Mbona wanawake ndio wanaongoza kwa kushauri wanaume kuoa?

Ndiyo maana ya marketing
 
Hebu get off your high horses. Wanaume mnachekesha sana! Kama hamtaki kuoa si muache tuuu. Kutwa kuongeaongea around ndoa weee kutuchosha! Asiyetaka kuoa asioe. Waonyeni watoto wenu wa kiume wasioe! Baasss. Sio mnatuomba kutuoa wenyewe halafu kuja kutusimangasimanga mtandaoni nyuma ya keyboard.

Hutaki kuoa kula nyama nyamaza.

Evelyn Salt njoo umalizie mi nimeanza
 
Mambo ni mawili tu kuoa au kuolewa.....usipooa kuolewa ni lazma.
 
Wanajiona sijui nani yaani!! Si waache tu waolewe tujue moja!!!
 
Kuna mmoja alimwambia mdogo wangu wa kiume kuwa wakati amelala usiku, BWANA wa majeshi alimtokea na akamwambia kuwa yeye ndiye mume wake mtarajiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…