Walec
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,364
- 3,326
Mzee kote uko sawa ila namba 3 kama unaweza futa tu kabisa,akimpa mimba uyo demu sio wa kumuoa wala kuzaa nae,demu ana redflags zakutosha,akimpa mimba watakuja kusumbuna kwenu child support jamaa atanyoshwa vibaya sana..na kwann uzae na Malaya?Pole sana mkuu. Tatizo lipo kwako na kwake pia. Simple rules:
1. Kwanza usiwekeze kwa mwanamke (kumfungulia biashara au kumsomesha) ambae sio Mke wako.
2. Pili, kama haujavuka 40, usioe na usimuoe ambae hajavuka 35.
3. Ukishindwa rule number , 1 mpe kwanza mimba ndio wekeza.
4. Ukishindwa rule namba 2, hakikisha una backup na usipende mazima na usiwe na wivu.
Sasa kijana nini cha kufanya!?
Huyo binti punguza nae Mawasiliano, iwe za Asubuhi, pole na kazi, za jioni, usiku mwema. Hamna story nyingi za umekula, umelala, habari za biashara etc.
Ikipita week anaendea ivo ivo mpe likizo ya week nzima bila kumtafuta.
Baada ya hapo hajabadirika, piga chini na usimfatilie kwenye mitandao.
Labda watawezana na kijana wa Boda.
Jamaa anatakiwa awe na options,atafute Mwanamke mwingine,hapo hana chake