Mbona wanawake wakijiweza kidogo tu kiuchumi wakalingana na wanaume wanakuwa na dharau?

Dah.
bro wew ni CLONE yangu kabisa. mim yamenikuta ayo kuna mwanamke nilikuwa nae kimahusiano akanibwaga sasa anatoka na kigogo wa benki moja mjin. dem kawezeshwa anakipato kikubwa kunizid mim bas ananitambia mitandaoni alaf anadharau sio poa adi mtindo wa kuongea amebadiri anaongea kama sepetu

Wanaume bwana

Mnavyocoment humu utafikiri siyo nyie mkipata pesa mnabadili mpaka type ya mwanamke wa kuspend nae [emoji706]
 
Siwezi kukataa hilo lipo pia
 
Wanaume bwana

Mnavyocoment humu utafikiri siyo nyie mkipata pesa mnabadili mpaka type ya mwanamke wa kuspend nae [emoji706]
🤣🤣🤣🤣🤣 Tanatafuta wale wanaoweza timiza fantasy zetu
 
Naombeni msaada wa mawazo ndugu zangu.
Mdogo wangu, tumia muda mwingi katika kujenga future yako yaaani uwe na akiba kubwa ya pesa. Mapenzi jihusishe nayo lakini usiyape nafasi kuuubwa ndani ya moyo wako. Kuna na mwanamke 50/50 yaani akiwepo sawa na akiamua kuondoka sawa tu ilimradi dili zako za hela hazijayumba baaas.
 
"Kiu na tamaa ya mwanamke ipo kwa mwanaume"
Haka ka mstari ka baibo huwa hamkaelewi?
Hawa ni viumbe wawili wanaoshindana kiasili japo hawaendani.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tanatafuta wale wanaoweza timiza fantasy zetu

Eeeh mkipata hela mnaanza kusaka fantasy na body kinanda sisi tuliotafuta wote unapiga chini siyo classy yako[emoji1787][emoji1787][emoji119]
 
Hapo tunakuwa tunapunguza genye sio kwamba tumependa
 
Mdogo wangu, tumia muda mwingi katika kujenga future yako yaaani uwe na akiba kubwa ya pesa. Mapenzi jihusishe nayo lakini usiyape nafasi kuuubwa ndani ya moyo wako. Kuna na mwanamke 50/50 yaani akiwepo sawa na akiamua kuondoka sawa tu ilimradi dili zako za hela hazijayumba baaas.
Naaam bro nmekupata
 
Back
Top Bottom