Mbona wanawake wakijiweza kidogo tu kiuchumi wakalingana na wanaume wanakuwa na dharau?

Mbona wanawake wakijiweza kidogo tu kiuchumi wakalingana na wanaume wanakuwa na dharau?

Siku zote mahusiano mazuri ni yale ambayo kila mmoja katika mahusiano hayo anayahitaji. Inapotokea unaona mwenzako anauelekeo wa kutoyahitaji kubaliana na hiyo hali mapema na usonge mbele na anayehitaji mahusiano na wewe. Ukitumia fomula hii hutahangaika hata kuomba ushauri.

Kanuni nyingine hakikisha unakuwa na mwanamke unayemmudu sio anayekummudu.
 
Siku zote mahusiano mazuri ni yale ambayo kila mmoja katika mahusiano hayo anayahitaji. Inapotokea unaona mwenzako anauelekeo wa kutoyahitaji kubaliana na hiyo hali mapema na usonge mbele na anayehitaji mahusiano na wewe. Ukitumia fomula hii hutahangaika hata kuomba ushauri.

Kanuni nyingine hakikisha unakuwa na mwanamke unayemmudu sio anayekummudu.
Uhakika
 
Mimi kwa mtazamo wangu hapo huyo manzi alishakuacha sema hakukuambia tuu direct...sasa huyo manzi hayupo mjini analeta dharau hizo je akija mjini itakuaje...ukiwekeza sana kwa wanawake una hati hati ya kupoteza mali(fedha,muda) na kupata maumivu sana...
 
Mimi kwa mtazamo wangu hapo huyo manzi alishakuacha sema hakukuambia tuu direct...sasa huyo manzi hayupo mjini analeta dharau hizo je akija mjini itakuaje...ukiwekeza sana kwa wanawake una hati hati ya kupoteza mali(fedha,muda) na kupata maumivu sana...
Nmekuelewa
 
Habari za saivi ndugu zangu.

Dhumuni la kuleta hii mada hapa ni ili kupata msaada wa kimawazo kuhusu binti mmoja tuliodumu kwenye mahusiano kwa miaka minne.

Kipindi tunaanza tulikuwa tukipendana, tulikuwa mkoa mmoja naye mkoa mwingine ila kila akitaka fanya jambo lazima anishirikishe. Akawa anatunza pesa, namtunzia hadi ikafika milioni 1, alikuwa ananiamini sana kweli ikafika kipindi akaihitaji nikampatia akasema afungue kijiduka cha nguo.

Akafungua biashara ikawa inaenda ananiagiza nimchukulie mzigo mjini, nachukua namtumia.

Sasa mwaka huu shida imekuja amekuwa kama hana muda na mimi, ukimwambia ichi anakuja juu sana. Kawa mtu wa kujionesha kwingi, mtandaoni ana marafiki wengi sana wa kiume.

Ikawa kila siku sijui anaenda wapi, anajipost yupo na boda wake wanajisnap. Namuuliza watu wanaojua tuko kwenye mahusino wanakuchukiliaje wewe na huyo kijana akajibu "HAKUNA ANAENILISHA HUYU NI KAMA NDUGU YANGU"!

Nikapotezea maisha yakaenda, akawa mtu wa visirani sana.

Ukimwambia kitu hajali, sasa nipo nafikiria nimuache tu maisha yake maana kwa hali yake ya sasa IMENISHINDA.

Naombeni msaada wa mawazo ndugu zangu.
Kijana wa Bodaboda kashampakia MKONGO huyo,achana nae hakuna namna.
 
Just imagine wana snap then akipata shida changamoto anakupigia nikamwbia yule mnae ji snap hawezi kukusaidia?

Akaja juu nikamwambia wewe amua chochote siwezi kuwa na mwanamke jeuri na asie na heshima
Mwanamke akishaanza kuleta jeuri achana nae kuna mtu kamshika masikio,atakusumbua.
 
Move on, mzee. Tena kwa amani tu. Huyo kashavuka ligi yako, so take your L with grace. Wanawake wengi huwachukulia poa sana wanaume wanaowashobokea.
 
Ndo nipo kwenye huo mchakato naomba mungu anisaidie nivuke salama
We husimtafute tena ipo siku atakutafuta mwenyewe akiwa ameshapigika na kufilisika, Vijana wengi walitokea kwenye maisha duni wakipata pesa wanakuwa na dharau kwasababu pesa kazipatia ukubwani kwao walikuwa hakuna vijisenti vya kubadilishia mboga na wazazi wake walikuwa hawana vipesa vya kuwatoa out watoto wao

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
We husimtafute tena ipo siku atakutafuta mwenyewe akiwa ameshapigika na kufilisika, Vijana wengi walitokea kwenye maisha duni wakipata pesa wanakuwa na dharau kwasababu pesa kazipatia ukubwani kwao walikuwa hakuna vijisenti vya kubadilishia mboga na wazazi wake walikuwa hawana vipesa vya kuwatoa out watoto wao

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Siwezi kufanya ata status nmemute nasubiri week 2 nifute na number kabisa
 
Haya mambo tunayasema kila siku humu lakini hatuskilizani Wanaume.

Tushatoa muongozo mda tu,haya ngoja nikupe hints juu ya penz lako

Mkuu ulikosea tangu mwanzo wa mahusiano kwa kutokujua au kwa kujua.

Kabla ya kuingia kweny mahusiano na mwanamke yoyote lazima uanze kuangalia redflags [emoji626],hizi zitakupa majibu mapema juu ya mwanamke unaemtaka kama ni sahihi au pasua tu.. Redflags ni nyingi kidogo ila kwa story yako nimeziona kama 4 au 5

1. Long distance Relationship,hii sio redflag ila ni kigezo kama Mwanaume unatakiwa ukiepuke kabisa.Tushasema hakuna mapenzi ya long distance,Bwana akae Tabora,Bibi akae Daslam ,kuna kitu kweny mapenzi kinaitwa Reciprocation,ile hali ya ku exchange vitu, yani kuna kupeana mambo mengi mkiwa pamoja,hii ndio concept nzima,sasa mtu akiwa mbali mna exchange vipi hii reciprocation? Watu wanajidanganya na simu,hakuna mapenz ya simu,ni swala la muda either yeye au wewe au wote mtatoka nje kusaka reciprocation.Sasa ww tayari bibie analeta dharau means kuna anae muheshimu tayari.

2.Shit Test, hii nayo sio redflag ila ni concept unatakiwa kuijuia,wanawake wanatumia sana ili kupenetrate kweny frame ya Mwanaume.

Shit test ni nini? Refers to women “testing” men to make sure they are good enough for sex, relationships or, simply, good enough to deserve their interest and keep the interaction going.

Haya natumaini ushaelewa maana yake,sasa Demu kweny maelezo yako alikufanyia shit test mbili,nitaongelea moja tu,Alikupa kazi ya kumfuatia mizigo yake na kumfungia,lengo lake akufanye kama kijakazi wake,na kweli alifanikiwa, Imagine unamfungia mizigo na bado anakuona fala tu,alikutest aone kama unaweza kukataa au vipi,lakini ukakubali and automatically akakuweka chini ya miguu yake,mana alikuona huna kazi za kufanya.
Jifunze kusema No panapo hitajika, mfano ushaona disrespect alafu ww unaendelea kufungasha mizigo yake,kwisha habari yako

Redflags sasa
1.Male Friends
Iko wazi wanawake always wako na backup plan,au kwa jina lingine tunasema Another Guy,Sasa demu akisha kua hivi automatically atakua kaweka nafasi ya Wanaume au Mwanaume mwingine kweny kichwa chake na moyoni mwake,na hii ikishatokea basi hatokuona ww kama ndo best option pekee.
Trust me hakujawah kua na matokeo mazur kwa mwanamke anae hang out na wahuni kwa kigezo chakua ni wanae tu , hivyo kama ww ni Mwanaume kamili huwezi poteza mda wako kwa mwanamke anae hang out na wanaume wengine kama washikaji zake.

Wanawanake na wanaume wana interest za tofauti wanapokua pamoja,Wanaume wanataka sexy tu hyo ndo common interests kwao,na Wanawake wao wanataka either attention au resources tu kutoka kwa Wanaume, hivyo demu akianza hang na wanaume basi jua ataliwa tu.

2.Women seeking Validation
Skuizi kweny social media , wanawake wengi wanatumia mitandao kusaka attention tu kutoka kwa Wanaume,sasa wanawake wa namna hii wanaotumia social media kugain attention ni wa kuwa avoid by all cost,kuna wasichna wazur tu wapo kweny social media wala hawatafuti attention.

Wanawake ambao wako busy kujisnap,post kila mda tena picha za mitego mitego tu at the same time kuna wahuni kibao ana namba zao au followers wanaona hizo post unafkri watamuacha salama?
Kwaiyo kama yupo naww na bado anapost picha za kusaka attention means bado anajiliza kama ww ni Mwanaume sahihi bado au la.
Nikwambie kitu, Mwanaume na Mwanamke wana sexual strategy tofauti, Mwanamke yake ni hypergamy na Mwanaume ni yake ni unlimited access to unlimited women,hivyo usije kuwaza Monogamy mpaka pale atakapoacha kujipost post mtandaoni.Usije ukawachulia serious wanawake wa aina hii hata siku moja.

3.Disrespect
As a Man Kamwe hutakiwa ku entertain disrespect kutoka kwa Mwanamke, Mwanamke akipata Mwanaume anaeona ni sahihi kwake hawezi kukuvunjia heshima hata siku moja mana anaona ww ni the best option kwake,sasa ww ukiona unaletewa dharau basi act mara moja kama Mwanaume na uonyeshe kua hau entertain ujinga

Huyo bibie kajaa dharau hana Heshima kwako pamoja na kumsaidia,hii inaanzga kule Kweny shit test ndio mambo yanafikaga huku,so demu wa aina hii ni redflags ya wazi kabisa,Muoneshe una option zaidi yake .

Unatakiwa kujua mambo mengi tu hasa hizi redflags,zipo kama 18 hivi,hapo kweny story zako nimeona kama 4 kwa haraka haraka,ila bila shaka kuna zingine nying anazo ni vile hujafunguka tu.

Chukua hatua,kumbuka ww ni Mwanaume,Leave her alone fanya mambo yako una mengi ya kufanya.

Kila lakheri Ninja.
Umemaliza kila kitu hapa boss [emoji119]
 
Pole sana mkuu. Tatizo lipo kwako na kwake pia. Simple rules:

1. Kwanza usiwekeze kwa mwanamke (kumfungulia biashara au kumsomesha) ambae sio Mke wako.

2. Pili, kama haujavuka 40, usioe na usimuoe ambae hajavuka 35.

3. Ukishindwa rule number , 1 mpe kwanza mimba ndio wekeza.

4. Ukishindwa rule namba 2, hakikisha una backup na usipende mazima na usiwe na wivu.

Sasa kijana nini cha kufanya!?

Huyo binti punguza nae Mawasiliano, iwe za Asubuhi, pole na kazi, za jioni, usiku mwema. Hamna story nyingi za umekula, umelala, habari za biashara etc.

Ikipita week anaendea ivo ivo mpe likizo ya week nzima bila kumtafuta.

Baada ya hapo hajabadirika, piga chini na usimfatilie kwenye mitandao.

Labda watawezana na kijana wa Boda.
Na ukiweka mimba usihudumie mpka mtoto aje dunian ujihakikishie Ni wako ...baada ya Apo mlipe fidia ya miezi tisa
 
Hapo kwenye boda boda wake ndio kosa lilipoanzia.
Piga chini tafuta mwanamke.
 
Back
Top Bottom