Mbona wanawake wakijiweza kidogo tu kiuchumi wakalingana na wanaume wanakuwa na dharau?

Mzee kote uko sawa ila namba 3 kama unaweza futa tu kabisa,akimpa mimba uyo demu sio wa kumuoa wala kuzaa nae,demu ana redflags zakutosha,akimpa mimba watakuja kusumbuna kwenu child support jamaa atanyoshwa vibaya sana..na kwann uzae na Malaya?

Jamaa anatakiwa awe na options,atafute Mwanamke mwingine,hapo hana chake
 
Ukweli mtupu ndio maana wapo tayari kutukuwa na tall dark and handsome wakatuliankwa andunje andunje mwenye hela🤣🤣🤣🤣 Kelsea
 
fvck Yeah
 
Wasichana wa kuoa wa kuona hata wawe na vipato na angalau wanajielewa nafasi yako mbele ya mwanaume ni WA Pwani ,singida , shinyanga ,iringa, Tabora na mbeya hao wengine wakiwa na elimu basi huko twitter washakuwa wanaharakati ...
 
Asante bro nimeipenda hii.
 
andika kitabu
 
Wasichana wa kuoa wa kuona hata wawe na vipato na angalau wanajielewa nafasi yako mbele ya mwanaume ni WA Pwani ,singida , shinyanga ,iringa, Tabora na mbeya hao wengine wakiwa na elimu basi huko twitter washakuwa wanaharakati ...
Yupo tabora mbona na hajielewi
 
Golden Rule:
Usimkumbatie mtu asiyekuhitaji au kuonesha nia ya kukuelewa kwa makusudi. She treats you like trash then treat her the same way. Its called enhancing your value.

Ukweli mchungu:
Kuna asilimia 99% boda boda wako anajua kuwa analiwa na huwa anamuendesha kuelekea machinjioni. Asilimia 1% boda boda ni mume mwenzio. Hao ndio wanawake.
 
Kuna mahali nilisoma kwamba mwana ume akipata hela anamtafuta mwana mke watumie nae na mwana mke akipata hela anatafuta jinsi ya kuishi bila mwana ume.

Imenifunza mengi kuhusu mwanamke, kikubwa kabisa ni kuyaangalia maisha yako binafsi na furaha yako kwa asilimia 95 zilizobaki unaweza ukagawa kwa wengine ikiwepo mwana mke.
 
Nakubari Sana bro
 
Na wakianguka kiuchumi wanaishi kama digidigi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…