Mbona wanawake wakijiweza kidogo tu kiuchumi wakalingana na wanaume wanakuwa na dharau?

Simple statistics ila he’s right mwandishi umeelewa?
 
Dah.
bro wew ni CLONE yangu kabisa. mim yamenikuta ayo kuna mwanamke nilikuwa nae kimahusiano akanibwaga sasa anatoka na kigogo wa benki moja mjin. dem kawezeshwa anakipato kikubwa kunizid mim bas ananitambia mitandaoni alaf anadharau sio poa adi mtindo wa kuongea amebadiri anaongea kama sepetu
 
Achana naye huyo mara moja...mbona wanawake wapo wengi dunia hii
 
😁😁 Pole yako
 
Acha tu wanawake ni wapuuza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…