Haya mambo tunayasema kila siku humu lakini hatuskilizani Wanaume.
Tushatoa muongozo mda tu,haya ngoja nikupe hints juu ya penz lako
Mkuu ulikosea tangu mwanzo wa mahusiano kwa kutokujua au kwa kujua.
Kabla ya kuingia kweny mahusiano na mwanamke yoyote lazima uanze kuangalia redflags [emoji626],hizi zitakupa majibu mapema juu ya mwanamke unaemtaka kama ni sahihi au pasua tu.. Redflags ni nyingi kidogo ila kwa story yako nimeziona kama 4 au 5
1. Long distance Relationship,hii sio redflag ila ni kigezo kama Mwanaume unatakiwa ukiepuke kabisa.Tushasema hakuna mapenzi ya long distance,Bwana akae Tabora,Bibi akae Daslam ,kuna kitu kweny mapenzi kinaitwa Reciprocation,ile hali ya ku exchange vitu, yani kuna kupeana mambo mengi mkiwa pamoja,hii ndio concept nzima,sasa mtu akiwa mbali mna exchange vipi hii reciprocation? Watu wanajidanganya na simu,hakuna mapenz ya simu,ni swala la muda either yeye au wewe au wote mtatoka nje kusaka reciprocation.Sasa ww tayari bibie analeta dharau means kuna anae muheshimu tayari.
2.Shit Test, hii nayo sio redflag ila ni concept unatakiwa kuijuia,wanawake wanatumia sana ili kupenetrate kweny frame ya Mwanaume.
Shit test ni nini? Refers to women “testing” men to make sure they are good enough for sex, relationships or, simply, good enough to deserve their interest and keep the interaction going.
Haya natumaini ushaelewa maana yake,sasa Demu kweny maelezo yako alikufanyia shit test mbili,nitaongelea moja tu,Alikupa kazi ya kumfuatia mizigo yake na kumfungia,lengo lake akufanye kama kijakazi wake,na kweli alifanikiwa, Imagine unamfungia mizigo na bado anakuona fala tu,alikutest aone kama unaweza kukataa au vipi,lakini ukakubali and automatically akakuweka chini ya miguu yake,mana alikuona huna kazi za kufanya.
Jifunze kusema No panapo hitajika, mfano ushaona disrespect alafu ww unaendelea kufungasha mizigo yake,kwisha habari yako
Redflags sasa
1.Male Friends
Iko wazi wanawake always wako na backup plan,au kwa jina lingine tunasema Another Guy,Sasa demu akisha kua hivi automatically atakua kaweka nafasi ya Wanaume au Mwanaume mwingine kweny kichwa chake na moyoni mwake,na hii ikishatokea basi hatokuona ww kama ndo best option pekee.
Trust me hakujawah kua na matokeo mazur kwa mwanamke anae hang out na wahuni kwa kigezo chakua ni wanae tu , hivyo kama ww ni Mwanaume kamili huwezi poteza mda wako kwa mwanamke anae hang out na wanaume wengine kama washikaji zake.
Wanawanake na wanaume wana interest za tofauti wanapokua pamoja,Wanaume wanataka sexy tu hyo ndo common interests kwao,na Wanawake wao wanataka either attention au resources tu kutoka kwa Wanaume, hivyo demu akianza hang na wanaume basi jua ataliwa tu.
2.Women seeking Validation
Skuizi kweny social media , wanawake wengi wanatumia mitandao kusaka attention tu kutoka kwa Wanaume,sasa wanawake wa namna hii wanaotumia social media kugain attention ni wa kuwa avoid by all cost,kuna wasichna wazur tu wapo kweny social media wala hawatafuti attention.
Wanawake ambao wako busy kujisnap,post kila mda tena picha za mitego mitego tu at the same time kuna wahuni kibao ana namba zao au followers wanaona hizo post unafkri watamuacha salama?
Kwaiyo kama yupo naww na bado anapost picha za kusaka attention means bado anajiliza kama ww ni Mwanaume sahihi bado au la.
Nikwambie kitu, Mwanaume na Mwanamke wana sexual strategy tofauti, Mwanamke yake ni hypergamy na Mwanaume ni yake ni unlimited access to unlimited women,hivyo usije kuwaza Monogamy mpaka pale atakapoacha kujipost post mtandaoni.Usije ukawachulia serious wanawake wa aina hii hata siku moja.
3.Disrespect
As a Man Kamwe hutakiwa ku entertain disrespect kutoka kwa Mwanamke, Mwanamke akipata Mwanaume anaeona ni sahihi kwake hawezi kukuvunjia heshima hata siku moja mana anaona ww ni the best option kwake,sasa ww ukiona unaletewa dharau basi act mara moja kama Mwanaume na uonyeshe kua hau entertain ujinga
Huyo bibie kajaa dharau hana Heshima kwako pamoja na kumsaidia,hii inaanzga kule Kweny shit test ndio mambo yanafikaga huku,so demu wa aina hii ni redflags ya wazi kabisa,Muoneshe una option zaidi yake .
Unatakiwa kujua mambo mengi tu hasa hizi redflags,zipo kama 18 hivi,hapo kweny story zako nimeona kama 4 kwa haraka haraka,ila bila shaka kuna zingine nying anazo ni vile hujafunguka tu.
Chukua hatua,kumbuka ww ni Mwanaume,Leave her alone fanya mambo yako una mengi ya kufanya.
Kila lakheri Ninja.