Mbona Watanzania tunaichekea sana hii hali ya watu kutekwa na kuuawa?

Mbona Watanzania tunaichekea sana hii hali ya watu kutekwa na kuuawa?

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,818
Reaction score
7,940
Yani siku hizi mtu kutekwa na kuuwawa au kupotezwa imekuwa kitu cha kawaida. Watanzania wanajazana kwenye comment section kutiana mwoga na kushangaa tu. Hii inadhihirisha hile kauli ya "Tutakupoteza na Watanzania watapiga kelele siku 2 kisha watakusahau".

Kila mtu sasa hivi Tanzania ni victim wa kutekwa, ni suala la muda tu... na wengine tunachukulia poa kwa sababu aliyetekwa sio wewe, wala si ndugu yako, wala si mtu wako wa karibu. Lakini amini kwamba tusipoangalia kila mtu anaweza kuwa mhanga wa utekwaji au kuuwawa.

Mtu kavunja sheria, basi miongozo ya sheria ifuatwe... mtu akamatwe kisha apelekwe mahakamani. Lakini gafla tu mtu anapotea mara ajulikani halipo mara kauwawa...
 
VUTA SUBRA MKUU,MUDA SI MREFU HALI ITAKUWA SHWARI
20251122_104424.jpg
 
Ukitekwa Wazee wa comments hawasaidii kitu .
 
Ilianza kama Masiara kipindi cha Magu. Laiti tungelivulia njuga kipindi hiki, sidhani kama bi mashavu angaendeleza kuteka.

Na tusipolikomesha hata kwa kumwaga damu, maanake hata mtawala atakaekuja baada ya bi mashavu ataendeleza kuteka na kuua.

Kwa ufupi, tukiendelea kulilea hili tatizo, huo ndo utakuwa mfumo wa utawala kwa kila raisi atakaekuja.

Tatizo watanzania tunabweka mitandaoni tu
 
Hata mtu akitekwa mchana, watu hawasaidii, wanachodanya ni kuchukua video tu..so what???

Pumbavu
Hao hawajaingia kwenye anga la waanzisha timbwi wanavizia victims km mwewe kwa kifaranga cha kuku, wakiingia kwenye anga la waanzisha timbwili hawaponi watapigwa mawe km nyoka alieonekana kwenye manyasi mafupi
 
... mtekaji mkuu tumeishamjua!
Mzee Ali Kibao aliona jambo na hawakumpa muda! ... SASA HIVI YUKO DHAHIR-SHAHIR!
AENDELEE, ZA MWIZI 40!
 
duh wajinga ni wengi ila muda ukifika mtalia kilio hiki hiki raia wanalia leo , si mmeweka katiba na nchi mnaiendesha kwa misingi ya akil ya mtu na sio Katiba
Kama mdomo wako hauna break na haujiongezi utaupa shida mwili wako na familia yako..
 
Back
Top Bottom