Hadi chawa Mc Pilipili alijiona yopo safe sanaKama mdomo wako hauna break na haujiongezi utaupa shidi mwili wako na familia yako..
Ukitekwa Wazee wa comments hawasaidii kitu .Yani siku hizi mtu kutekwa na kuuwawa au kupotezwa imekuwa kitu cha kawaida. Watanzania wanajazana kwenye comment section kutiana mwoga na kushangaa tu. Hii inadhihirisha hile kauli ya "Tutakupoteza na Watanzania watapiga kelele siku 2 kisha watakusahau".
Kila mtu sasa hivi Tanzania ni victim wa kutekwa, ni suala la muda tu... na wengine tunachukulia poa kwa sababu aliyetekwa sio wewe, wala si ndugu yako, wala si mtu wako wa karibu. Lakini amini kwamba tusipoangalia kila mtu anaweza kuwa mhanga wa utekwaji au kuuwawa.
Mtu kavunja sheria, basi miongozo ya sheria ifuatwe... mtu akamatwe kisha apelekwe mahakamani. Lakini gafla tu mtu anapotea mara ajulikani halipo mara kauwawa...
Mambo yatakuwa shwari kivipi Rais atatoka madarakani ?
Hao hawajaingia kwenye anga la waanzisha timbwi wanavizia victims km mwewe kwa kifaranga cha kuku, wakiingia kwenye anga la waanzisha timbwili hawaponi watapigwa mawe km nyoka alieonekana kwenye manyasi mafupiHata mtu akitekwa mchana, watu hawasaidii, wanachodanya ni kuchukua video tu..so what???
Pumbavu
MTEKAJI NDIYE ANAYEWALIPA KUCHOMA NCHI!
MTEKAJI NDIYE ANAYEWALIPA KUCHOMA NCHI!
Kama mdomo wako hauna break na haujiongezi utaupa shida mwili wako na familia yako..
Hata Polepole alikuwa akisema hivyo kipindi kile, hakujua kama mambo yanaweza kubadilika akafikiwaKama mdomo wako hauna break na haujiongezi utaupa shida mwili wako na familia yako..