Mbona watu wengi wanapenda kuhama usiku tu?

Jana nimenunua tv nimepeleka home kumbe mpangaji mwenzangu kasafiri hayupo nyumbani nimerudisha dukani kwanza nasubiri siku akirudi nikaifate tena haiwezekani iwe kimya kimya kama nimeiba nitatumia mbinu zote ili jihakikishe anaiona hapa nimetoka kumpigia simu kujua anarudi lini anasema nauri yake haijatimia nakwenda kwa wakala pale kumwongezea nauri hata kama ndo pesa yangu ya kula kwa leo lakini nataka arudi haraka aone TV yangu siwezi kufa kwa njaa ya siku moja bhana
 
Kwenye ule uzi wako wa deep web nilikukera[emoji23][emoji23].

Wanahama usiku kwa sababu za kiusalama
Majirani hasa wezi,wachora ramani wasione mali zinazoingia ndani ya nyumba na zinazotoka
Vipi kuhusu uchafu kama mjumbe mmoja alivyosema hapo juu?
 
Nimekusoma mkuu atleast nimepata mwanga fulani
 
Security. Imagine unahamia huku uswazi kwetu cantre imejaa maboksi ya 60'' OLED tv, home theatre,mazagazahga kibao huku vibaka wa kitaa wanashuhudia

hahaa hao wanaweza kukuotea muda wowot ule wakakuibia..srhem nayoishi mm majirani karibu wote wameibiwa flat screen zao...sie tunaponea chup chup coz tuna mbwa..ila naaminigi iko siku nitashika kibaka kwa mkono wangu..niko senstive mno mm usk...!nikimshikaaa😣😣😣😣
 
Sasa kwanini mtu asikubaliane na hali yake? Maana usiku nao una hatari zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…