Mbona watu wengi wanapenda kuhama usiku tu?

Mbona watu wengi wanapenda kuhama usiku tu?

Wengine tunamiliki kiwanda cha plastic kuanzia sahani,majaba,vikombe,madumu ya uhai,ndoo za kutosha n.k inabidi Kuhama usiku tu kwa kweli
 
1. Vyombo na furniture chakavu
2. Vyombo na furniture classic
3. Umbea wa wabongo
4. Usumbufu wa 'manesi' barabarani.
5. Usumbufu wa maliasili (kitanda unaweza kuambia ukilipie mambo ya misitu sijui nini wakati sio kipya)

6. Any of the above.
Nilikuwa na laptop mbovu nimetoka kwa fundi na haifai tena njiani nikakutana na wale jamaa eti wanataka risit nilionunulia.
Laptop niliishaitumia miaka 3+.
 
Nilikuwa na laptop mbovu nimetoka kwa fundi na haifai tena njiani nikakutana na wale jamaa eti wanataka risit nilionunulia.
Laptop niliishaitumia miaka 3+.
😂😂😂😂hiyo laptop kama bado ipo tuongee biashara maana me kwa vimeo huniambii kitu
 
Kwa experience yangu na ya nyie wengine humu Jf na huko mtaani, tumezoea watu wengi wanaohama makazi/nyumba au vyumba vyao huhama wakati wa usiku....je kuna kipi nyuma ya pazia kwa raia kutumia usiku kuhama na si mchana?.......
Bahati nzuri Sina kuda wa kuhama nikisha fungasha natafuta gari naondoka
 
Back
Top Bottom