Mbona watu wengi wanapenda kuhama usiku tu?

Mbona watu wengi wanapenda kuhama usiku tu?

Kuficha aibu na faragha pia

Hamna mtu apendae mambo yake au vitu vyake vionekane
 
Vi Suzuki carry huwa vinakamatwa sana mchana na asbh hivyo wanavizia asbh.
 
Kwa experience yangu na ya nyie wengine humu Jf na huko mtaani, tumezoea watu wengi wanaohama makazi/nyumba au vyumba vyao huhama wakati wa usiku....je kuna kipi nyuma ya pazia kwa raia kutumia usiku kuhama na si mchana?.......
Kuna baadhi ya haki ambazo binadamu amezaliwa nazo kwa sababu tu ya yy kuwa binadamu (by virtue of being a human being) mojawapo ni haki ya ufaragha (RIGHT OF PRIVACY)

Wanahama usiku kwa sababu ya kulinda right of/to privacy)
 
Mchana kuna jua kali na ni muda wakufanya usafi kule unakohamia usiku
 
ha ha nakumbuka zamani kipindi nipo mdogo huko mkoani watu walikua wanalalia magodoro ya maranda ya mbao hivyo siku ya kuhama usiku kama kawaida anaanza kubeba vyote kisha godoro analitelekeza!!
dah noma tumetoka mbali
 
Kuepuka foleni wakati wa mchana na pia wakati wa mchana tunakuwa makazini
 
1. Vyombo na furniture chakavu
2. Vyombo na furniture classic
3. Umbea wa wabongo
4. Usumbufu wa 'manesi' barabarani.
5. Usumbufu wa maliasili (kitanda unaweza kuambia ukilipie mambo ya misitu sijui nini wakati sio kipya)

6. Any of the above.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Usiombe nyumba iwake moto mchana halafu uwe unaokoa hayo mavitu uliyoyataja hapo juu.....utatamani yateketee tu kwa aibu
 
Kuna baadhi ya haki ambazo binadamu amezaliwa nazo kwa sababu tu ya yy kuwa binadamu (by virtue of being a human being) mojawapo ni haki ya ufaragha (RIGHT OF PRIVACY)

Wanahama usiku kwa sababu ya kulinda right of/to privacy)
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ila kweli aisee maana uswahilini kuna vitu vya ajabu
 
Back
Top Bottom