Mbona watu wengi wanapenda kuhama usiku tu?

Mbona watu wengi wanapenda kuhama usiku tu?

Kwa experience yangu na ya nyie wengine humu Jf na huko mtaani, tumezoea watu wengi wanaohama makazi/nyumba au vyumba vyao huhama wakati wa usiku....je kuna kipi nyuma ya pazia kwa raia kutumia usiku kuhama na si mchana?.......
 
1. Vyombo na furniture chakavu
2. Vyombo na furniture classic
3. Umbea wa wabongo
4. Usumbufu wa 'manesi' barabarani.
5. Usumbufu wa maliasili (kitanda unaweza kuambia ukilipie mambo ya misitu sijui nini wakati sio kipya)

6. Any of the above.
 
Kwa experience yangu na ya nyie wengine humu Jf na huko mtaani, tumezoea watu wengi wanaohama makazi/nyumba au vyumba vyao huhama wakati wa usiku....je kuna kipi nyuma ya pazia kwa raia kutumia usiku kuhama na si mchana?.......
Kuna staff member anahama muda huuu hahaah
 
ha ha nakumbuka zamani kipindi nipo mdogo huko mkoani watu walikua wanalalia magodoro ya maranda ya mbao hivyo siku ya kuhama usiku kama kawaida anaanza kubeba vyote kisha godoro analitelekeza!!
 
ha ha nakumbuka zamani kipindi nipo mdogo huko mkoani watu walikua wanalalia magodoro ya maranda ya mbao hivyo siku ya kuhama usiku kama kawaida anaanza kubeba vyote kisha godoro analitelekeza!![/QUOTE 😁😁😁😁those moment day....Godoro dodoma umechangia pakubwa kwel ni changes kubwa mikoa in this days......We no longer again in uses of local mattress
 
Kila mtu afanye yanayomuhusu.. sisi sio wajinga kuhama usiku eeebo hatutaki mjue ndo maana tunahama night
 
Back
Top Bottom